Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:
1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560
2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702
3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349
Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.
sasa nitatembea kifua mbele
Ukawa njia Nyeupe.
Ukawa njia Nyeupe.
Sasa nitatembea kifua mbele
Uangalie tuu usiminywe minywe chuchu hizo maana unavyoropoka kihere here chako
Mkuu COARTEM, thanks for info, na hii ndio the power of jf, be the first to know!.Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:
1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560
2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702
3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349
Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.
Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:
1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560
2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702
3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349
Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.
Angalia usitembee kifua mbele ukaacha kalio nyuma,watu watalichezea.!!