nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Inategemea...kama wife ana mshahara 2.5...kuna shida gani ukitoa mahali 3m...inawezekana umewanyang'anya cash cow wao
Kwanini nisitake jamen si itakuwa donge hilokwa nini dada yangu, au wewe hutaki hizi habari?
Maweeee ......laki tatu?
ndiyo, kwani kuna mtu hana ajira? labda ungeuliza ajira gani, hata kijana aliyepo nyumbani tu ana ajira ile ya kutumwa hapa na pale na kusaidia kazi za nyumbani.
hahahaha bora apewe bure kabisaaaaa
ndiyo, kwani tunauziana?
hahahaha bora apewe bure kabisaaaaa
Wampe tu bure!!!
ndo inavyotakiwa, huoni wanawake mnadhalilishwa kwa kuuzwa kama bidhaa, au bado mpo utumwani?
Na kusweat juuumechoka???
Kweli kabisa best
Unaongea sana.....