Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Tumetoka mbali!
Yupi sasa hapo?
Jiwe angejua hili?!No one konows about tomorrow
Huku kanisani RomaHapa waliposimama ni pugu sehemu Gani mbona sijapasoma!
Wabongo noma aisee!!Mmeshadukua kitabu kabla hakijazinduliwa?
Chikira Mutabari usiwe kilaza,ni huyo wa kushotoNi yupi kati ya hao kwenye picha?
Sijui kwanini sipendi mazoea na wewe mkuu!Chikira Mutabari usiwe kilaza,ni huyo wa kushoto
Sio suala la mazoea,umeuliza swali nimekujibu!!Sijui kwanini sipendi mazoea na wewe mkuu!
Naishangaa kweli roho yangu!
Rekebisha hapo. Sio kwamba walitukamata bali wametukamata hadi sasa hiviDaah!
Ndio yupi hapo?
Huyo mwembamba mfupi alichana nywele mtindo wa 'way'? Kweli wazungu walitukamata akili sana!! Sisi na nywele zetu fupi, ngumu za kujisokota unaiga mtindo wa kuchana nywele laini ndefu?