Unbelievable: Kumbe mke wangu ni JF Premium member!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unbelievable: Kumbe mke wangu ni JF Premium member!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by New2JF, Jul 18, 2012.

 1. New2JF

  New2JF Senior Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani jamani jana nimekuta kitu ch tofauti sana...kumbe mke wangu ni JF member tena ni PREMIUM member!!!! Aliacha laptop kitandani akatoka kwenda kumtuliza mtoto uani, nikataka kuangalia email zangu, ile hamad...webpage ya jamii forums...haa!!! ndio nikaona ID anayotumia humu!!!. Bahati nzuri hajawahi kutoa comment katika posts zangu na wala mimi sijawahi fanya hivyo. Yaani hata sasahivi yuko kazini ila yupo online na namuona na nasoma comment zake hapa!!!

  Nimejiapiza sitamuambia kabisa... na pia hata kukiwa na vikao vya JF sitapenda kwenda maana ni mchangiaji mzuri sana wa mada humu!!!

  Afadhali nimefahamu hili.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona unatuwekea hapa wakati umeshalifanya nila kifamilia? au unataka tukuingile kama magamba yanavyo muingilia Dr Slaa na Mchumba wake Josphine ambao soon watakuwa mke na mume?
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hii hadithi ya Sungura na Fisi kamu hadithie huyo mtoto wako huko uani.
   
 4. T

  Twigwe Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea mke wako unamchulia kama nani, kama unamchulia as house wife atakuwa hivyo, msomi na mwelewa atakuwa hivyo,mwenzako atakuwa hivyo, kwa ajili ya kulea tu atakuwa hivyo, sasa twambie ulikuwa unamchukuliaje?
   
 5. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Safi sana.... Ukiona hivyo, ujue mkeo anashiriki kulijenga taifa kwa mawazo/post/comment zake hapa JF!! Mi mwenyewe nikioa ntamshauri wyf wangu ajiunge na awe anachangia ili ajue jinsi nchi inavyoenda na ajifunze kujenga HOJA!!
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaaaaaaa! kwani hii nayo ni siasa??? nimesema naipenda jf! mwenye hasira akajmwagie tindikali khaaaaaaaaa! we kaka u have completed my afternoon! kha!
   
 7. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hii nayo siasa? angalia tena signature yako
   
 8. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Shukuru mke wako ni Great Thinker yupo humu JF badala ya FB!
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mke mwenza usishangae, siasa ishageuka sihasa.....
   
 10. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Sasa sisi unatueleza habari hizi tufanye nini mbona JF imeingiliwa hivi jamani ? Vichwa vya panzi nao wako humu hata hawa elewi kwa nini wako humu.
   
 11. A

  Aaron JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,134
  Likes Received: 2,722
  Trophy Points: 280
  mimi ndie niliyemfungulia acc. JF
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  HONGERA kwa kupata mke mwerevu.
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hii ni habari ya siasa?

  Mods tunaomba iende jukwaa la mahusiano.
   
 14. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aisee, wewe Mkeo! ..... mie, Pastor wangu....sasa ivi amenunua ipod saaaaaafi antiririkia tu ndani ya JF BRAVOOO
   
 15. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,384
  Trophy Points: 280
  ......................... Unataka kusemaje?
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red mbona una post 100 tu?!!!
   
 17. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  fuatilia posts zake mambo ya wakubwa uone kazi.
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ebu soma PM zake kama hujaona PM chungu,huo u-premium amelipiwa bhana.
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ingia chit-chat uone kama hajakua anachangamkia wanaume kule maana kuna wanaume jf wao kwa totoz kule chit chat hawajambo:happy:
   
 20. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hii ungepeleka jukwaa la hoja au chitchat..hapa sio mahala pake
   
Loading...