Unbelievable: Kumbe mke wangu ni JF Premium member!!

Ni afadhali umweleze na umpe Identity yako, siku akikumwagia matusi yaliyokwenda shule kwenye comment/thread yako....uzalendo utakushinda, nadhani amani itatoweka nyumbani.
 
ndiyo utajua kuwa mambo sio ya miaka arobaini na saba..na ukome kuandika upuuzi humu utaumbuka siku moja!!!mkeo atakucheka na kukuona zoba a.k.a *****!!
 
ingia chit-chat uone kama hajakua anachangamkia wanaume kule maana kuna wanaume jf wao kwa totoz kule chit chat hawajambo:happy:

halafu akute anachati na mzee wa nyumba ndogo bishanga ze banana ma! Au babu odm.
 
Jamani jamani jana nimekuta kitu ch tofauti sana...kumbe mke wangu ni JF member tena ni PREMIUM member!!!! Aliacha laptop kitandani akatoka kwenda kumtuliza mtoto uani, nikataka kuangalia email zangu, ile hamad...webpage ya jamii forums...haa!!! ndio nikaona ID anayotumia humu!!!. Bahati nzuri hajawahi kutoa comment katika posts zangu na wala mimi sijawahi fanya hivyo. Yaani hata sasahivi yuko kazini ila yupo online na namuona na nasoma comment zake hapa!!!

Nimejiapiza sitamuambia kabisa... na pia hata kukiwa na vikao vya JF sitapenda kwenda maana ni mchangiaji mzuri sana wa mada humu!!!

Afadhali nimefahamu hili.

hata yeye anajua kuwa wewe ni active member wa JF, lakini kwa siku nyingi alikuwa hajui id unayotumia. leo hii umerahishia kujua id yako, sasa ngoma droo
 
Inategemea anachangia mada gani labda majukwaa mengine so kuwa na hiyo premium status haimaanishi anatoa hoja nzito za mustakabali wa nchi hii, huenda anapost majukwaa ya mapenzi au utani na jokes. Anyways hata hivyo uzi wako hauna mashiko
 
Jamani jamani jana nimekuta kitu ch tofauti sana...kumbe mke wangu ni JF member tena ni PREMIUM member!!!! Aliacha laptop kitandani akatoka kwenda kumtuliza mtoto uani, nikataka kuangalia email zangu, ile hamad...webpage ya jamii forums...haa!!! ndio nikaona ID anayotumia humu!!!. Bahati nzuri hajawahi kutoa comment katika posts zangu na wala mimi sijawahi fanya hivyo. Yaani hata sasahivi yuko kazini ila yupo online na namuona na nasoma comment zake hapa!!!

Nimejiapiza sitamuambia kabisa... na pia hata kukiwa na vikao vya JF sitapenda kwenda maana ni mchangiaji mzuri sana wa mada humu!!!

Afadhali nimefahamu hili.
Duuu hiyo kali, nilikuwa pale ofisini kwa mke wako naye akaniambia amekushtukia wewe JF member ila hajakuambia! Nilicheka sana na akashtuka akaniuliza mbona nacheka nikamwambia ni vile unavyosema amegundua mume wake yupo JF na hutaki kumwambia. Ila yeye alisema mume wake anaonekana kuponda sana mada zikimkalia vibaya!! Sasa sijui utaamua kumwambia au vipi
 
Jamani jamani jana nimekuta kitu ch tofauti sana...kumbe mke wangu ni JF member tena ni PREMIUM member!!!! Aliacha laptop kitandani akatoka kwenda kumtuliza mtoto uani, nikataka kuangalia email zangu, ile hamad...webpage ya jamii forums...haa!!! ndio nikaona ID anayotumia humu!!!. Bahati nzuri hajawahi kutoa comment katika posts zangu na wala mimi sijawahi fanya hivyo. Yaani hata sasahivi yuko kazini ila yupo online na namuona na nasoma comment zake hapa!!!

Nimejiapiza sitamuambia kabisa... na pia hata kukiwa na vikao vya JF sitapenda kwenda maana ni mchangiaji mzuri sana wa mada humu!!!

Afadhali nimefahamu hili.

mmmh hii jamii forums hii ishakuwa balaa ndo mimi nn? itabidi niache matani coz kama hubby yuko humu na akisoma navochangia mbona patakuwa patachimbika lol!
 
mh sasa ulishangaa nini kumuona hapa.ulitaka ufaidi peke yako maana unaonesha kushangaa sana!!!
 
Hivi hata umemba wa jf mnafichana?
Na wasiwasi na ndoa yenu.

Shangaa na wewe ndugu yangu! Mfano hapa mmoja ameshajua ID ya mwenzie, si waambizane tu? Yaani mtu anaogopa hadi kukutana na wanajf kisa mkewe ni member? Mmmmh.....!!!
 
Mambo yaajabu kabisa...
Hata ID za jf?
Ndoa hizi hazina hata mvuto.
 
Mambo yaajabu kabisa...
Hata ID za jf?
Ndoa hizi hazina hata mvuto.

Bora na we umeliona hilo swahiba, watu wanaishi kwa kuwindana......yaani mtu anataka ajue mwenzie yupo wapi na anafanya nini ila ye hataki yake yajulikane!
 
Jamani jamani jana nimekuta kitu ch tofauti sana...kumbe mke wangu ni JF member tena ni PREMIUM member!!!! Aliacha laptop kitandani akatoka kwenda kumtuliza mtoto uani, nikataka kuangalia email zangu, ile hamad...webpage ya jamii forums...haa!!! ndio nikaona ID anayotumia humu!!!. Bahati nzuri hajawahi kutoa comment katika posts zangu na wala mimi sijawahi fanya hivyo. Yaani hata sasahivi yuko kazini ila yupo online na namuona na nasoma comment zake hapa!!!

Nimejiapiza sitamuambia kabisa... na pia hata kukiwa na vikao vya JF sitapenda kwenda maana ni mchangiaji mzuri sana wa mada humu!!!

Afadhali nimefahamu hili.

sasa si tayari umeshamwambia...? Huoni kuwa lazima atapita hapa na atajua ukweli?
 
Samahani wana JF. Nilikosea kutuma hii post bahati mbaya. Ila lengo langu ni kuwashirikisha tu mambo ya kawaida kabisa na ambayo yapo na yanaweza kumtokea mwingine yoyote, usije kukuta mnao-comment wengine hamjuani kumbe ni ''couples''!!!
 
Khah, kumbe Bishanga ana kiuno?
Nimegundua anavalia suruali kiunoni ila nimejiapiza simwambii.
 
Last edited by a moderator:
tena ingekuwa vizuri kama utamwambia,
uwazi ni mzuri zaidi kwenye masula ya ndani.

Samahani wana JF. Nilikosea kutuma hii post bahati mbaya. Ila lengo langu ni kuwashirikisha tu mambo ya kawaida kabisa na ambayo yapo na yanaweza kumtokea mwingine yoyote, usije kukuta mnao-comment wengine hamjuani kumbe ni ''couples''!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom