Unazungumziaje Rotary engines mazda rx8 ?

Unazungumziaje Rotary engines mazda rx8 ?

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,227
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nikagundua ukiachana na hizi piston engines zilizopopular kwenye magari na mashine mbalimbali kumbe kuna aina mpya ya engine ambazo hazitumii mfumo wa pistons.

Hizi zinaitwa rotor engines. Nimekuwa nazo interested sana baada ya kulipenda gari aina ya mazda rx8 inayotumia mfumo huu wa engine.

Kwa wale wataalamu waaswala ya technohama, mnazizungumziaje rotor engine, maintainance yake ikoje, ubora na mapungufu ya engine hizi ni zipi...
 
Back
Top Bottom