LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,204
wakuu kuna hizi gari zenye rotary engine.zinaonekana kama ni ngeni sana ingawa ni engine ambazo zipo mda mrefu sana lkn kwetu hapa naona now watu ndio wanazinunua nunua.ili tusidindokee kule kule kwenye garin zenye engine ya d4 kuwa ni kimeo.kwa wale wenye uelewa ,ujuzi na utaalam tu share hapa.
je engine hizi tatizo lake kubwa ni lipi changamoto zake ni zipi na je matatizo yapi ni common.na je matatizo yapi yanatengenezeka na solution yake ni ipi?
mm nishapata kesi kama 2 au 3 .gari kuzima likipata moto,gari kugoma kuwaka likipata moto, na tatizo la hard start mda wote na rough idle.
na nyingi zishapaki na nyingine washazibadilisha engine na kuweka za toyota.je? rotary engine ni tatizo au ss mafundi ndio tatizo??
hembu changia lolote unalolijua laweza kusaidia kwa wenye magari na mafundi