Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

Performance
Camera
OLED screen
Software (iwe OneUI, Pixel Experience or Stock android)
Software ndio sehemu muhumi sana kwangu kuliko vyote vingine.
Vitu kma RAM na Battery siviwazii sana sikuhizi sababu simu zote sikuhizi zinayo ya kutosha tu
 
Vya kuzingatia vipo vingi ila baadhi ni hivi;
1. Kampuni, kwangu ni Samsung afu nataka niingie Xiaomi pia.
2. Bei, sina uwezo mkubwa kiuchumi hivyo bei zangu ni kuanzia 500k hadi 800k, ila isiwe chini ya laki 4 maana simu za ovyo nyingi ziko kwenye hili kundi.
3. Muda, hapa naangalia hii simu ina muda gani tangu itoke dukani, mara nyingi napenda kununua simu yenye muda mfupi tangu itoke kiwandani angalau isizidi miezi mitatu kuepuka uzalishaji wa kopi zake au feki. Hapa ni mawazo yangu ila sina utaalam sana.
4. Ubora wa camera, kwa samsung nilizotumia sina wasiwasi.
5. Screen, lazima kiwe SuperAmoled au bora zaidi ya hapo ila kikiwa TFT sijui LCD tayari kinakuwa kimeumana tayari, na kwa sbb hii ndo maana Tecno siwezi hata kuiota
6. Os- Android- Snapdragon.
7. Storage, angalau 64ROM, 3GBRAM, Sina shobo na 4G maana huku mikoani kwenyewe network shida.
8. Fingerprint isiwe nyuma ya simu, iwe onscreen au pembeni.
9. Muuzaji, nkitaka kununua simu napendelea zaidi kuchukua kwa mawakala au mtu anayefuata mzigo au kuagiza mwenyewe.
10. Mengineyo ntavumilia ila hadi nifanye uamuzi wa kwenda dukani nakuwa nimepitia sana mtandaoni kujiridhisha na sifa na mapungufu mbalimbali ya hiyo simu.
Naomba kuwasilisha.
 
Umeongea vizuri sana inaonekana unajua unachokitaka, Kuna point hapo
No 8: Binafsi Biometric system (fingerprint) ikiwa nyuma ya Body ya cm yaan siulizi chochote nshaikataq hiyo simu hata iwe ina nn yaan Fingerprint lwe in display au pemben aisee
 
Samsung tatizo simu zenye ubora mdogo bado ziko bei juu tofauti na Xiaomi simu Kali bei ya kawaida Tu kuanzia kamera kiooo ram chip inayotumia na hhaichemki kama jiko la jela
Samsung nzuri ni gharama sanaa
 
Back
Top Bottom