Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

Ngoja nikakamate xiomi note 10 kwanza nione
 
kama ni 400+ basi Memory ni 68 gb, mimi nimenunua Note 10 plain 128 gb Mlimani city 550k
Screenshot_20210512-161547.png
 
Hii bei ni bora ununue poco x3 nfc, hii redmi note 10 haina maajabu yoyote mbali na kuwa na amoled.
Poco ina maajabu gani Mkuu? Kila mtu ananunua simu kwa Mahitaji yake Binafsi. Mimi Redmi Note 10 inanitosha sanaa
 
Poco ina maajabu gani Mkuu?
Body design.
Ina Gorilla 5 mbele ambayo ni crack resistence kulinganisha na Gorilla 3 ambayo scratch resistance.

Ukaaji wa chaji.
Ukiwa unaaperuzi na poco x3 nfc betri inaweza kustahimili masaa 17 wakati redmi note 10 ni masaa 13.

Refresh rate ya poco x3 nfc ni 120Hz kama ni gaming poco ndio yenyewe na Display ya HDR10.

SoC mpya iliyomo kwenye note 10 imeonyesha performance ya chini kwenye kila idara mbele ya Snapdragon 732G iliyopopo kwenye poco.
Baadhi ya bench mark za redmi note 10 na simu zingine ikiwemo poco x3 nfc.
1620918958899.png

Hii ni GeekBench upande wa multicore.

Tuseme multcore sio issue kwa sababu apps nyingi huwa zinatumia core moja.

GeekBench single core performance.
1620919113277.png

Antunut 8 benchmark.
1620919183370.png

Kwa mujibu wa gsmarena, Snapdragon 678 inazidiwa mpaka helio g80 na g95 kwenye baadhi ya vitu.

Loud speaker ya poco inatoa sauti nzuri kuliko ya note 10, gsmarena wameipa score ya -25.3LUFS huku note 10 ikiscore -26.2LUFS

Bado bei ya poco x3 nfc ni $210 ambapo redmi note 10 ni $180

Kama ulivyosema kila mtu na machaguo yake, kwa features na uwezo poco x3 nfc na bei yake redmi note 10 ni simu ghari na ya kawaida.

Binafsi jambo la kwanza kwenye simu ni SoC kwa snapdragon angalau 7xx series na mediatek g95 ama dimensity series.
 
Binaafsi nimepunguza sana matumizi ya simu kwa maana ya kujaza apps au kucheza games nk......... nimebaki naperuzi sana social media labda na kudownload movies/ series usiku.
NISAIDIE LINK BOSS NA MM NIPAKUE HIZO SIRIES/MOVIES KAMA HUTOJARI NI_PM HZO LINK
 
Body design.
Ina Gorilla 5 mbele ambayo ni crack resistence kulinganisha na Gorilla 3 ambayo scratch resistance.

Ukaaji wa chaji.
Ukiwa unaaperuzi na poco x3 nfc betri inaweza kustahimili masaa 17 wakati redmi note 10 ni masaa 13.

Refresh rate ya poco x3 nfc ni 120Hz kama ni gaming poco ndio yenyewe na Display ya HDR10.

SoC mpya iliyomo kwenye note 10 imeonyesha performance ya chini kwenye kila idara mbele ya Snapdragon 732G iliyopopo kwenye poco.
Baadhi ya bench mark za redmi note 10 na simu zingine ikiwemo poco x3 nfc.
View attachment 1783500
Hii ni GeekBench upande wa multicore.

Tuseme multcore sio issue kwa sababu apps nyingi huwa zinatumia core moja.

GeekBench single core performance.
View attachment 1783509

Antunut 8 benchmark.
View attachment 1783516
Kwa mujibu wa gsmarena, Snapdragon 678 inazidiwa mpaka helio g80 na g95 kwenye baadhi ya vitu.

Loud speaker ya poco inatoa sauti nzuri kuliko ya note 10, gsmarena wameipa score ya -25.3LUFS huku note 10 ikiscore -26.2LUFS

Bado bei ya poco x3 nfc ni $210 ambapo redmi note 10 ni $180

Kama ulivyosema kila mtu na machaguo yake, kwa features na uwezo poco x3 nfc na bei yake redmi note 10 ni simu ghari na ya kawaida.

Binafsi jambo la kwanza kwenye simu ni SoC kwa snapdragon angalau 7xx series na mediatek g95 ama dimensity series.
Mimi ni mtumiaji wa Simu wa kawaida sana..hayo mambo mengi katika simu kwangu sio kipaumbele sababu kuna Mengine nafanya kwenye PC pia. Simply Redmi Note 10 suit my demands.
 
Binafsi niinunuapo Simu nazingatia sana vitu vikuu vifuatavyo;

1. RAM
Asee hii ni muhimu sana sana sana, kiwango cha chini cha simu ninayohitaji iwe na RAM kuanzia 3 GB (with exception of iPhones).

2. ROM/ INTERNAL
Kiwango cha chini nilichojiwekea ni 32 GB, ili kubalansi mahitaji yangu. (Nasisitiza zaidi nikiwa nanunua iPhone)

3. CAMERA
Hapa huwa natulia, siangalii Mega pixel ngapi lakini naangalia matokeo.
Sababu ni ukweli usiopingika ya kwamba 20 MP za TECNO kamwe haziwezi kuwa sawa na 12 MP za iPhone au Samsung au Google Pixel, hivyo sidanganyiki na Megapixel.

3. BATTERY
Kiwango cha chini hapa ni walau 3000 mAh. (Again, with exception of iPhones)

4. INTERNET
Maendeleo ya Teknolojia tulofikia karne hii ya 21 ni makubwa sana hivyo sipo tayari kuwa nyuma nyuma, ninunuapo simu walau iwe na uwezo wa 4G.

Hivyo ndivyo vigezo vyangu vikuu, vingine ni vidogo dogo kama rangi n.k.
 
Body design.
Ina Gorilla 5 mbele ambayo ni crack resistence kulinganisha na Gorilla 3 ambayo scratch resistance.

Ukaaji wa chaji.
Ukiwa unaaperuzi na poco x3 nfc betri inaweza kustahimili masaa 17 wakati redmi note 10 ni masaa 13.

Refresh rate ya poco x3 nfc ni 120Hz kama ni gaming poco ndio yenyewe na Display ya HDR10.

SoC mpya iliyomo kwenye note 10 imeonyesha performance ya chini kwenye kila idara mbele ya Snapdragon 732G iliyopopo kwenye poco.
Baadhi ya bench mark za redmi note 10 na simu zingine ikiwemo poco x3 nfc.
View attachment 1783500
Hii ni GeekBench upande wa multicore.

Tuseme multcore sio issue kwa sababu apps nyingi huwa zinatumia core moja.

GeekBench single core performance.
View attachment 1783509

Antunut 8 benchmark.
View attachment 1783516
Kwa mujibu wa gsmarena, Snapdragon 678 inazidiwa mpaka helio g80 na g95 kwenye baadhi ya vitu.

Loud speaker ya poco inatoa sauti nzuri kuliko ya note 10, gsmarena wameipa score ya -25.3LUFS huku note 10 ikiscore -26.2LUFS

Bado bei ya poco x3 nfc ni $210 ambapo redmi note 10 ni $180

Kama ulivyosema kila mtu na machaguo yake, kwa features na uwezo poco x3 nfc na bei yake redmi note 10 ni simu ghari na ya kawaida.

Binafsi jambo la kwanza kwenye simu ni SoC kwa snapdragon angalau 7xx series na mediatek g95 ama dimensity series.
Soma watu walivyoiponda hiyo simu yako hapa Poco X3 NFC long-term review
 
Back
Top Bottom