KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
pia ilikuwepo moja inaitwa mjomba ni mama fc sijui ilikua inaotokea wapi ile timu ...nimesahau,na nyingine sentano haichenjiki.
Waya mkali dah umenikumbusha mbali maplayer wake kina king kola, mbalula wengi walikuwa wauza mitumba soko la kilombero kipindi hicho mi ndo dogo nabeba mipira na viatu vya kipa wao kauka wimbo wao ulikuwa zigirawanya winya winya wanya winya waya winya*2 timu zingine za arusha zilikuwa mandela ya soweto uwanja wa chuma, saddam ya watoto wa kiarabu, golden kids ya pangani,morani ya polisi, tejo ranger, fresh ya unga ya unga limited mechi kombe la mbuzi uwanja wa reliniKuna Arusha ilikuwa inaitwa WAYA MKALI wengi walikuwa ni masela na wapigaji wa kitu cha aruchaga hawa jamaa walikuwa ni noma sana.
Duh! Kuna jamaa alikuwa anaitwa Mungi Said Muonekano wake wa Kizembe lakini alikuwa anafunga magoli balaa Kuna Mechi jamaa alikuwa kafiwa na Panama Inacheza huku hali mbaya wamezidiwa Lakini akaja kuwahi mechi kabla haijaisha na lipoingia Alifunga magoli Mawili Safi Sijui huyu jamaa sijui aliishia Wapi? kulikuwa na Ligi ya Watoto kule lakini timu zote zimekodi Majeshi Kina Omera, Tom Mashalah na Wengine Wengi wa Ligi KuuNshakipiga Panama Fc Mtoni kwa Azizi Ally 1996. Pale nyuma ya uwanja wa Taifa kulikuwa na Likwati FC watoto wa Temeke wailesi nao walikuwa wazuri si haba.
Mkuu Timu ya Born City Vipi!! kuna kipindi walikuwa Wanacheza Mafather Kina Rashid Chama..., Pia Yule Marehemu Francis Rungu na Wengine Wengi majina SiyakumbukiWaya mkali dah umenikumbusha mbali maplayer wake kina king kola, mbalula wengi walikuwa wauza mitumba soko la kilombero kipindi hicho mi ndo dogo nabeba mipira na viatu vya kipa wao kauka wimbo wao ulikuwa zigirawanya winya winya wanya winya waya winya*2 timu zingine za arusha zilikuwa mandela ya soweto uwanja wa chuma, saddam ya watoto wa kiarabu, golden kids ya pangani,morani ya polisi, tejo ranger, fresh ya unga ya unga limited mechi kombe la mbuzi uwanja wa relini
ni nowmer.
Ila mbinu hizo waasisi wake ni watoto wa Keko Gerezani.
Unajua wale Rashid Matumla amewaathiri sana wale vijana, kila kijana wa Keko anapiga boxing siku hizi...
Usikurupuke
Friends Corner Rangers
Kagera Rangers
Faru Dume
Ashanti
Boom FC
- before 1995, mechi between hizi timu, ilikuwa balaa tupu!
Sinza star-Sinza
Faru Dume
Wacheche-Ilala
shada-Kinondoni
Wagadao-hawa walikuwa watoto wa kishua mitaa ya Ada estate walikuwa wanapiga soka kama wamelogwa walikuwa wanajichanganya na watoto wa uswahilini kucheza mechi,yaani wakija uwanjani karibu timu nzima inadrive gari,namkumbuka sana Iddy Janguo alikuwa anachezea timu hii!!!
Waya mkali dah umenikumbusha mbali maplayer wake kina king kola, mbalula wengi walikuwa wauza mitumba soko la kilombero kipindi hicho mi ndo dogo nabeba mipira na viatu vya kipa wao kauka wimbo wao ulikuwa zigirawanya winya winya wanya winya waya winya*2 timu zingine za arusha zilikuwa mandela ya soweto uwanja wa chuma, saddam ya watoto wa kiarabu, golden kids ya pangani,morani ya polisi, tejo ranger, fresh ya unga ya unga limited mechi kombe la mbuzi uwanja wa relini