mimi nakumbuka tuko wanne sebuleni mimi,sister mkubwa,bro mwenye mkanda na dada mwingine mgeni wanasukana.ghafla chanel zikakata ilikuwa ni zile za cable ya kulipia,kwahiyo inabidi tuweke mkanda.
mimi ndio engeneer nikanyanyuka na kushika caseti moja lilikuwa juu ya deki,kwanza lilikuwa limejaa kinoma mpaka halimalizi kitairi upande mmoja,kumbe limeungwa mara mbili.
nataka kuweka bro karudi,oya dogo hilo casete bovu achana nalo,mimi nakataa acha tujue ni casete la picha gani,nataka kuweka akanimind na kunipora nikashangaa sana,baada ya miezi kadhaa nalikuta kwenye tranka lake nikachukua na kwenda kulitest,aisee



.nikabidi nifunge milango kwanza ili nijilipue bila wasi wasi.hii ni maiaka 17 iliyopita jaman.