Unazikumbuka filamu hizi??

"Xi You Ji" au "Journey to the west" star wake akiwa ni monkey king - Sun Wukong ilikuwa inanikosha sana...:cool2::cool2:
 
Tamthilia mbili tu zikirudiwa nitafurahi sana......The Promise (Yna na Angelo) na La mujer de mida (Babarita na Antonio Adolf Thompson)
 
Mimi nakumbuka tamthilia ya LEA MWANA, mojawapo ya tamthilia za mwanzo kabisa kutoka Kenya zilizorushwa na ITV.
 
Kuna movie moja ya Police academy bonge la comedy walikua wanaonesha kila pasaka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…