Unazifahamu hizi?

Nafuu umesema kwann wanakata ss
wanakata kwa sababu wengi wakishangonoka chap chap wanajifanya kwenda kuoga na hawarudishi
sasa mtaani au majumbani zianajulkana ni za Guest aua hata unaweza kukuta wameweka za kushoto tu.
Pia hata wale wenzetu wa Kabila fulani huwa wanachanganya na mizigo yao km kufidia gharama za Guest kwani hata visabuni hawaachi wanabeba
 
Hahahaha wanafidia pesa yao kumbe hatari
 
Kanda mbili za gesti house

Ova
 
Ukimuona mpenzi wako amevaa za hivyo alafu akawa anatokea njia ya uchochoroni, basi mtilie mashaka
Atakuwa ametolewa nduki akasahau viatau vyake ikabidi aje na hozo za guesti
 
Nafuu umesema kwann wanakata ss
Wanakata sababu kuna raia sio waaminifu hawashindwi kutia kwenye begi kuondoka nazo
So unaona hata mataulo ya lodge na guest huwa yanaandikwa majina yao au chata ili kuprevent watu kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…