Ndiyo mkuu inauhusika nani? Embu nitoe ukungu ambao upo machoni mwangu.
my question is nawezaje kuzipata bitcoins...???
i heard recently zimepanda sana thamani 1 bitcoin is equal to 1200 usd's kama sikosei
toka umeanza hii biashara faida yako inaendaje?? af how can you trap international customers...??
Personally cannot make heads or tails of Bitcoins hata baada ya utafiti wa kina kwenye mtandao! Waana JF enjoy christmass na baba Gaston viva christmass m.youtube.com/watch?v=I-fatu4HRkY&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DI-fatu4HRkY
Mkuu, kuna sehem nyingi za kununua Bitcoins, unaweza kununua kwa kutumia debit card yako, lakini mara nyingi ukitumia credit card au debit card inachukua siku nyingi mpaka uje kupata bitcoins zako, njia rahisi kama unataka kununua ingia localbitcoins.com utakuta wauzaji wengi, bei tofauti na njia mbalimbali za malipo, mimi huwa nalipia kwa westernunion ndani ya dakika 20 muuzaji ananipatia coins zangu. Bei inabadilika siku hadi siku, juzi ilipanda mpaka $1300 kwa BTC moja, leo imesimamia $950 kwa hiyo unaponunua kuwa mwangalifu, nunua siku unapoona imeshuka kama hivi, mimi huwa nanunua wakati wa crisis na kuuza inapopanda.
Nashukukuru mkuu kwa ufafanuzi wako.
Sasa wewe unanufaika vipi na biashara hiyo?
Embu tupe mchanganuo wa kutosha ili tupate kufahamu.
Hahahaa, mkuu mbona kila kitu kiko wazi.....kwa mfano nikinunua btc kwa bei ya leo $950 nikauza kesho kwa $1200 hauoni napata faida!! BTW theory ni hiyo, lakini mimi nadeal zaidi na soko lisiloonekana, halitabiriki, haliaminiki lakini ndiyo linalipa!