Unayezini naye unaunganishwa naye kiroho

Unayezini naye unaunganishwa naye kiroho

MADA hii ikanikumbusha miezi kadhaa iliyopita nilikuwa nazungumza na washkaji zangu kuhusiana na suala hili la "BIKRA" ambapo kuna jamaa (kati yao palepale) alikuwa analalamika kuhusiana na demu kutokujua mapenzi kwa sababu alimkuta bikra. Jamaa yetu yule alionekana kukereka sana na alifikia kusema kama angejua asingemtongoza na Kati ya vijana tuliokuwa pale watatu walikubaliana na point za yule jamaa.
NILISHANGAA SANA! Nilidhani kuwa kama ukimkuta mwanamke sio used basi unafurahi kumbe sio? Watu wa siku hizi inaonekana hawapendi masuala ya kuanza kufundishana,wanataka watu ambao ni waalimu tayari

Sasa nikiunganisha na hili mada naona hili jambo la kuwa na wanawake wengi kama linazidi "KUKUA" flani hivi, yaani huenda hili suala hapo siku za nyuma lilikuwepo lakini inaonekana linachukua kasi mbaya
SASA NAJIULIZA; Wanaume wanalichukuliaje suala hili. Pia wanawake nao wanalichukuliaje hili coz hata wenyewe wanalalamika sana kufikishwa kileleni ckuiz. Kitu kinachopelekea waanze "KUHAHA" kutafuta mwanaume wa "SHOKA" ambae anawafikisha pale juu na matokeo yake ni kuwa na "BEHEWA LA TRENI"

SWALI LANGU; kama kuna watu wawili ambao unatakiwa uchague kati ya "NANI" awe mwenzi wako ambapo mmoja ni used na mwingine sio (MTUMBA NA ORIJINO). Je ungependa yupi awe mwenzi wako na kwanini?
NOTE; KUMBUKA MFALME SULEIMAN ( sijui "selemani") KWA WALE WASOMAJI WA BIBILIA.
 
Ni kweli kabisaaa.ndo. mana ndoa nyingi zinaumwa na ndo mana utakuta asilimia kubwa tukiumizwa na tulionao kwa sasa akili yote inakumbuka kuleee.cha msingi ni kufanya toba na kuvunja maagano.
 
ni bahati mbaya sana kuwa na njia kuu ambayo performance yake ipo chin kuliko mchepuko, bora usionje
 
Sasa tuache kuoa wadada waliokwisha kuwa na mahusiano? Au tufanyeje?
 
wanaume sisi ni waharibifu sana,mtu anakuwa alishakuwa na mtu wake badala ya kutulia nae ndio kwanza tunahangaika kiguu na njia kufukuzia mabinti wadogo na kuwaharibia usichana wao,hivi kwanini? yule tulie nae nikitu gani alichokosa? kama kulikuwa na mapungufu kwake ulimfuatia nini? badiliken bwana waachien na ambao hawana wapate jamani,muwe na hofu ya MUNGU jaman,na ndio kama hivyo unajikuta umejiunganisha kwenye laana ambayo madhara yake ni kizazi chako kinacho fuata kaka zangu, mwenyezi MUNGU atupe wepesi kwa hili.
 
Swala si kutooa/kuolewa wasio2mika ukifuata hvo huwez kuoa/kuolewa kabisa hapa 2po kwenye phase ya "MAJI YAKIMWAGIKA HAYAZOLEKI" sehemu kubwa ya vijana wa kiume kwa wa kike wenye umri wa kuoa na kuolewa wana CHAIN NDEFU sana ni rahisi sana kwa mwanamke/mwanaume kukufaham siku ya kwanza ya tendo kama "UNAJUA AU HAUJUI" in case alishapita/alishapitiwa na wanaojua kuliko wewe kabla yako anafanya comparison anakuta we ndo BURE KABISA pengne the last perfomer kwenye chain yake ila ndo ushamuoa/ushaolewa naye ana hela ndefu bt jongoo anahangaika kupanda mtungi hapo ndipo vijana wasio na kazi ila wanajua KUPGA MAMBO huwa wanalelewa na wake zetu kwa ku2mia hela 2nazozipata kwenye OVERTIME na mikopo na kwa shurba nying
 
Imani tu hizi.... Sasa utakaso una nafasi gani kama hayo mabehewa yanabaki?
 
Kuna ka ukweli, lazima kuwa selective. Wengine wanaweza kukuletea mikosi bure. Na instability katika ndoa unayoiongelea, si lazima iwe ya kiroho tu, ila nafasi wanazocheza kwenye maisha yako yaweza sababisha ndoa yako kuwa unstable.

Mfano, kutwa kuchwa unawasiliana na x wako ambaye ni free, na ukamwendekeza, unaweza jikuta unakumbushia. Au kila saa una wasiliana na x wako, afu ana mtizamo hasi katika ndoa, ataku drag down na wewe.

Wengine wanaenda mbali zaidi, labda wanaamini katika ushirikina, vyote hivyo vitaku-distract kwenye ndoa yako.

So ukitaka kujitakasa na haya, fanya toba ya kweli, kisha weka ukuta baina yako na wao. Lakini kumbuka, x sio adui.

Well said Kongosho! The issue is that muda tulio nao imekuwa kama ni lazima kujigjig before marriage! Wenyewe wanasema: "shake before use!" unauchukuliaje huo msemo?

Hata ukiamua kutubu ni sawa na 0 tu! Yes coz ukitubu unapata msamaha kwa Mungu tu! Vipi kuhusu wasioamini Mungu? Tuseme wao hawana haki? Na hata hao wanaoamini Mungu ni vipi toba yao itasaidia ktk mahusiano yao?

Mimi ni Zombie wa kutosha na ni miongoni mwa watu wanaoamini uwepo wa Mungu na dini! But itanisaidia vipi kujilinda wakati possibility ya kumpata bikra ni 0.001?

Actually mambo ya mahusiano yanaconnection ndogo sana na Mambo ya Mungu! Yap! Mwisho wa siku ni lazima nifunge ndoa ya kidini but how about before marriage? Ni kweli nile kwa macho wakati wenzangu wanakula raha?

Kutokana na vishawishi vilivyopo ni vipi naweza kuwa kibogoyo?

Kibaya na kuchangaza ni pale unapoonekana mshamba kwa kutojigjig before marriage!!!!!!

im total confused!
 
Huduma ya ukombozi huondoa hizo connections ya maroho mbali mbali
 
Hii mada ina ukweli mtupu na niliwahi kupata bahati ya kufundishwa kiundani,na mara nyingi ukimbikiri binti hata akijaolewa asipovunja hiyo connection,ukimuomba tena hata kama yeye hataki huwa kuna force flan (yenye uhalali)inayomsukuma kukubali mwishowe ndoa yake inavunjika nashukuru mtoa mada...

Mmmh!i doubt that.nahisi hii haiapply kwa wote.specifically mimi.wa kwanza hana nafasi kwangu kabisa kiuhakika.
 
Kufanyika kosa mara nyingi na watu wengi hakuhalishi kosa hilo.

Wakati mwingine, kitu cha maana zaidi ni kuwa na amani na nafsi yako. Kama shake before useinakukosesha amani sana, acha. Hata leo hii kuna watu wanakutana na mabikra siku ya ndoa.

Na mara nyingi huwa nasema,ukiamua kutulia, unatulia kwa manufaa yako mwenyewe. Hata kama hakuna tena bikra duniani, unaifanyia nafsi yako si ya mtu mwingine.

Unadhani wasioamini katika Mungu hawana jinsi ya kujisahihisha na makosa waliyofanya? Wanayo. Utasikia 'nafanyia kazi maisha yangu, najitahidi kuwa mtu mzuri (a better person)zaidi kila siku. Pia kuna dhana ya lujisamehe, hizo zote ni njia za kujitakasa,sema tunaoamini ndio tuna reconcile na Mungu wetu.
Hapa EMT atakuwa na maelezo mazuri zaidi.

Well said Kongosho! The issue is that muda tulio nao imekuwa kama ni lazima kujigjig before marriage! Wenyewe wanasema: "shake before use!" unauchukuliaje huo msemo?

Hata ukiamua kutubu ni sawa na 0 tu! Yes coz ukitubu unapata msamaha kwa Mungu tu! Vipi kuhusu wasioamini Mungu? Tuseme wao hawana haki? Na hata hao wanaoamini Mungu ni vipi toba yao itasaidia ktk mahusiano yao?

Mimi ni Zombie wa kutosha na ni miongoni mwa watu wanaoamini uwepo wa Mungu na dini! But itanisaidia vipi kujilinda wakati possibility ya kumpata bikra ni 0.001?

Actually mambo ya mahusiano yanaconnection ndogo sana na Mambo ya Mungu! Yap! Mwisho wa siku ni lazima nifunge ndoa ya kidini but how about before marriage? Ni kweli nile kwa macho wakati wenzangu wanakula raha?

Kutokana na vishawishi vilivyopo ni vipi naweza kuwa kibogoyo?

Kibaya na kuchangaza ni pale unapoonekana mshamba kwa kutojigjig before marriage!!!!!!

im total confused!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom