Unayetafuta mpenzi, weka picha yako

Unayetafuta mpenzi, weka picha yako

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,378
Reaction score
2,054
Habari wana JF,

Hii ni kwa sisi tunao tafuta mpenzi/mchumba/mke,Ili tutuhakikishia unacho maanisha kama sio utani na upo serious kweli ni bora uweke picha yako tukuone.Sio ma post kila siku hapatikani? Sura yako huonekani?

Jiweke mwenyewe tukuone kama una nia ya kweli.
 
Habari wana jf
Hii ni kwa sisi tunao tafuta mpenzi/mchumba/mke,Ili tutuhakikishia unacho maanisha kama sio utani na upo serious kweli ni bora uweke picha yako tukuone.Sio ma post kila siku hapatikani?sura yako huonekani?
jiweke mwenyewe tukuone kama una nia ya kweli.

[/nimeshindwa kuweka picha]
 
Habari wana JF,

Hii ni kwa sisi tunao tafuta mpenzi/mchumba/mke,Ili tutuhakikishia unacho maanisha kama sio utani na upo serious kweli ni bora uweke picha yako tukuone.Sio ma post kila siku hapatikani? Sura yako huonekani?

Jiweke mwenyewe tukuone kama una nia ya kweli.
 
basi sawa
 
Attachments

  • CYMERA_20160613_102533.jpg
    CYMERA_20160613_102533.jpg
    14.3 KB · Views: 58
Watu si wataanza kupost PC z magentlemen & ladies wa FB il waonekane kila siku wapya nakujipanga kwa mizinga hasa wale wa dumejike / jikedume.
 
Back
Top Bottom