Unayetafuta mpenzi, weka picha yako

Unayetafuta mpenzi, weka picha yako

Kwani kuna watu wako sirias kweli wanatafuta humu? Mimi huwa naona ni sehemu ya kuchangamsha genge tu
 
5f11da7364fc155bda3f63e32c9293d6.jpg
 
Kwani kuna watu wako sirias kweli wanatafuta humu? Mimi huwa naona ni sehemu ya kuchangamsha genge tu
yan hata mim huwa sidhan. humu ni wahuni wa mjini tu(walio wengi)
 
nahisi ninachati na mwanamke mwenzangu au km sio,ni kavulana tu...
 
Sasa mim picha yangu haiendani na post zangu itakuwaje,? Let's keep hiding behind the keyboard
 
Back
Top Bottom