Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 181
Wakubwa Shikamooni Wadogo Habari zenu.
Bakini njia Kuu musilalamike kuhusu Bokoharam tu.inawezekena hapa hapa Tanzania,humu humu Jamii Forum muna watu wanawalalamika kuhusu hilo kundi,kumbe wao hawajioni mabaya yao.
Usiniulize kwa nini.wewe toa maoni yako tuu.
Ahsante.