WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Unadhani hilo linasumbua? Linaonesha tu ni kina nani hasa wanataka "mabadiliko"...
Niliwahi kusema kwamba bado hatujapata viongozi wenye mpango wa dhati na akili ya kuiondoa CCM madarakani!
Kwa bahati mbaya sana hata baadhi ya wananchi wamekuwa mashabiki na washadadiaji wa siasa lakini hawajui siasa ni nn na nafasi yao ni ipi katika siasa!!!
CCM bado itaendelea kutawala nchi hii sana tu kama watu wenyewe ndio hawa washadadiaji,na wenye uelewa mfu kwenye siasa!! Mnatia hasira yaani badala ya kuja na hoja kujibu hoja mtu analeta matusi hivi mnadhan matusi ni dawa??!!
Mtaishia kuendelea kupiga kelele halafu msivyokuwa na akili timilifu mnataka mawazo ya mtu yawe sawa na yenu!!!jamani hivi si kila mtu ana kichwa chake??!!