Unayajua Makundi Manne yatakayoifunga breki Safari ya Lowassa?

Unadhani hilo linasumbua? Linaonesha tu ni kina nani hasa wanataka "mabadiliko"...

Niliwahi kusema kwamba bado hatujapata viongozi wenye mpango wa dhati na akili ya kuiondoa CCM madarakani!

Kwa bahati mbaya sana hata baadhi ya wananchi wamekuwa mashabiki na washadadiaji wa siasa lakini hawajui siasa ni nn na nafasi yao ni ipi katika siasa!!!

CCM bado itaendelea kutawala nchi hii sana tu kama watu wenyewe ndio hawa washadadiaji,na wenye uelewa mfu kwenye siasa!! Mnatia hasira yaani badala ya kuja na hoja kujibu hoja mtu analeta matusi hivi mnadhan matusi ni dawa??!!

Mtaishia kuendelea kupiga kelele halafu msivyokuwa na akili timilifu mnataka mawazo ya mtu yawe sawa na yenu!!!jamani hivi si kila mtu ana kichwa chake??!!
 
Mzee Mwanakijiji, with all due respect, Though your reputation precedes you TAFAKARI upya kabla ya kupost tena chochote if you are too proud to acknowledge you are heading the wrong direction.

Jana nakumbuka ulianzisha thread nyingine yenye "hoja" nyepesi. Hakuna chochote cha maana ulichoongea huko, mwanzoni nilidhani mtu katumia JamiiForums ID yako au 'mko' wengi wenye kutumia ID hii. Baada ya kusoma thread yako hii yenye "hoja" nyepesi zaidi ya ile ya jana ndipo nimeamua kusema haya;

Tafakari upya, 'More voices means less trust, in any given voice' (Natambua wewe umenielewa). Your credibility/reputation uliyoijenga kwa muda sasa iheshimu. Though sijasema lolote katika mabandiko yako "mepesi" naomba niseme hivi, mkumbuke Dr.W.Slaa.

Anyway you may take it or leave it.
 
Last edited by a moderator:
Lipo tatizo! Kuwaambia watanzania kuwa Lowassa hafai kuwa rais wao, sio tatizo. Tatizo ni kutowaambia mbadala wake na kwa nini unaamini mbadala huo unawafaa zaidi watanzania. Kuwaambia, CDM/UKAWA haifai sio tatizo, wangetaka kujua ni kwa vipi CCM, ACT, CHAUMMA au ADC ni bora zaidi. Yupo Magifuli wa CCM, yupo Anna wa ACT, yupo Rungwe wa CHAUMMA, yupo Yembe wa ADC etc. Ni kwa vipi hawa na vyama vyao ni bora zaidi?

Huu ni mwaka wa uchaguzi. Ni lazima lazima tumchague mmojawapo kati ya waliojitokeza/waliopendekezwa awe Rais wetu. Hakuna sayansi katika hili (hata kama wote hawatoshi, ni lazima kati ya hao mmoja awe Rais wetu).

Heko mkuu, hii ndio aina ya harufu ya chuki ambayo wengi tunaivuta kutoka kwa mtoa Hoja MMM. Ni dhahiri pasipo chuki katika Hoja Zake angetueleza angependa tumchague nani na kwa nini.
Otherwise awe anamaanisha tusipige na kura
 

Hapa ndipo mimi nilipo na tatizo napo!, eti Siyo wote ni wana CCM...na wengine hata kuisikia CCM hawataki kuisikia ka kauli lakini moyoni na mtendo ni kuisaidia CCM!.

Kwa kuwa saidia tuu wageni wageni humu na waio jua, hizi quote nimezitoa kwenye hii thread ya 19th December 2009!.

Heko M. M. Mwanakijiji kwa makala (gazeti la Mwanahalisi)


Nafanya tuu Rejea!.
Kuna watu wanadhani kuwa kuna members humu wamebadilika, au mwanzo walikua upinzani lakini sasa ndio wamebadilika na kuamua kuitumikia CCM!. No way, hawakuanza leo!.

Hii ni thread ya 19th December 2009!.

Natumaini kwa hii angalau mtatuelewa tunapo waambia,
CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?
Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!
Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani Anayejifanya Malaika?!.
Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyo jidhania!.

NB. Naomba uhuru wa mtu kujiunga na chama chochote cha siasa, uhe
shimiwe, au kumuunga mgombea yoyote, au kumpinga mgombea yoyote!.

Pa
sco


Pasco!!

Kuwa ccm au chadema a.k.a ukawa sio kosa!!

Kubwa hapa ni kuangalia content Brother!!

Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba mnataka kulazimisha watu wakubaliane na nyie kila kitu na anaepinga basi huyo ni ccm.

Kwa akili ya kawaida ukiona mwanaume analazimishwa kuoa mwanamke asiye chaguo lake na yeye akakubali basi utambue basi ujue pia siku ya kuachana nae atalazimishwa na atafanya hivyo hebu tuwe wazi kila mmoja achague dini anayoahudu tubaki kuheshimiana!!
 
mzee mwanakijiji, with all due respect, though your reputation precedes you tafakari upya kabla ya kupost tena chochote if you are too proud to acknowledge you are heading the wrong direction.

Jana nakumbuka ulianzisha thread nyingine yenye "hoja" nyepesi. Hakuna chochote cha maana ulichoongea huko, mwanzoni nilidhani mtu katumia jamiiforums id yako au 'mko' wengi wenye kutumia id hii. Baada ya kusoma thread yako hii yenye "hoja" nyepesi zaidi ya ile ya jana ndipo nimeamua kusema haya;

tafakari upya, 'more voices means less trust, in any given voice' (natambua wewe umenielewa). Your credibility/reputation uliyoijenga kwa muda sasa iheshimu. Though sijasema lolote katika mabandiko yako "mepesi" naomba niseme hivi, mkumbuke dr.w.slaa.

Anyway you may take it or leave it.
dead mind always thinks negatively....

.
.
Lowassa for presidency no matter what!
 
Last edited by a moderator:
Well... ni rahisi sana kumpuuzia mtu lakini ni vigumu sana kupuuzia hoja! Wenye kuogopa ni ushauri mzuri sana kwa wao kukwepa ninachoandika.. si walisema "the pen is mightier..." in this case... "the keyboard"!

Jiandae Lowassa atakuwa rais wako.....vinginevyo chukua uraia huko huko!
 
Unadhani hilo linasumbua? Linaonesha tu ni kina nani hasa wanataka "mabadiliko"...

Bahati mbaya au nzuri tuko wengi sasa na wengi sio bavicha. Ni wale tusio na kadi ya chama chochote cha siasa lakini tuna kadi ya kupigia kura, MMM na sisi ni wananchi, tuna uwezo wa kufikiri pia na kuchagua
 
pasco!!

Kuwa ccm au chadema a.k.a ukawa sio kosa!!

Kubwa hapa ni kuangalia content brother!!

Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba mnataka kulazimisha watu wakubaliane na nyie kila kitu na anaepinga basi huyo ni ccm.

Kwa akili ya kawaida ukiona mwanaume analazimishwa kuoa mwanamke asiye chaguo lake na yeye akakubali basi utambue basi ujue pia siku ya kuachana nae atalazimishwa na atafanya hivyo hebu tuwe wazi kila mmoja achague dini anayoahudu tubaki kuheshimiana!!
content ya wapi ilhali mtu alishachagua upande?
 
Heko mkuu, hii ndio aina ya harufu ya chuki ambayo wengi tunaivuta kutoka kwa mtoa Hoja MMM. Ni dhahiri pasipo chuki katika Hoja Zake angetueleza angependa tumchague nani na kwa nini.
Otherwise awe anamaanisha tusipige na kura

Kwa nini mnataka mchaguliwe wa kumpigia kura? Sikiliza/soma hoja kisha chagua mwenyewe. You have brain, use it.
 
Kwa nini mnataka mchaguliwe wa kumpigia kura? Sikiliza/soma hoja kisha chagua mwenyewe. You have brain, use it.

mkuu hata kwenye mitihani kuna wakati swali linakuwa hakina jibu. sio lazima mtu achague upande ila anaweza akakataa upande. mtu mzima angalia mwenyewe pima si wako wengi?
 
Vyama vinavyounda UKAWA kwisha habari yao hapa baada ya uchaguzi tutashuhudia ACT-Wazalendo ikipanda chati
 
Uchambuzi wako umeegemea upande mmoja.

Unataka kutuaminisha kwamba sio wote wanaojazana kumshangilia Lowasa watampa kura! Lakini hutaki kuangalia upanda wa pili... unataka kutuaminisha kwamba wanaosombwa na fuso kwenda kumwangalia Magufuli watampa kura wote! Unataka kutuaminisha kwamba watu wataendelea kuipa kura CCM kwa "mazoea" lakini unasahau kwamba hiki ni kizazi tofauti, unasahau kwamba kila baada ya miaka mitano kuna generation mpya ya wapiga kura inaingia na hii ndio itakayoleta mabadiliko.

Tatizo sijui humfahamu mmm au huelewi alichokuwa anakipigania miaka?
Mmm hawezi kuzungumzia ccm yeye miaka yote amekuwa mshauri wa cdm, ndio maana siku zote anazungumzia upande mmoja,
Haya aliyasema Dr Slaa akashambuliwa sana eti kisa hakumtaja magufuli, Dr Slaa amtaje magufuli wanini? Yeye anayazungumzia ya kwake na anatafuta njia ya kutatua matatizo yake sio ya ccm, ccm inajulikana walishafeli, ndio sababu vyama vingine vimepata nguvu,
 
Kwa nini mnataka mchaguliwe wa kumpigia kura? Sikiliza/soma hoja kisha chagua mwenyewe. You have brain, use it.

Ndio Hoja hii, ya kwamba mwananchi anaouwezo wa kuchambua na kuchagua as long as anayo taarifa sahihi Juu ya mgombea.
Now Hoja hapa inabaki pending kutoka kwa MMM ya kuwa flani asichaguliwe. Now why atuambie tusimchague flani specifically Lowassa instead angetupa tu taarifa zinazomuhusu Lowassa then swala la maamuz likabaki kwa msikilizaji.?
 
Mzee Mwanakijiji mzee mwenzangu bora ungechukua uamuzi kama wangu, kuchukua likizo kidogo hapa JF maana kuna ID zipo hapa kimkakati tu, wamewekwa kuvuruga kila mada, Kila point mradi tu wapo kazini, na mkataba wa kazi zao utakuwa mwisho 25 Oct, baada ya hapo JF itarudi katika ubora wake
 
Last edited by a moderator:
mkuu hata kwenye mitihani kuna wakati swali linakuwa hakina jibu. sio lazima mtu achague upande ila anaweza akakataa upande. mtu mzima angalia mwenyewe pima si wako wengi?

Ila mkuu kwenye kura kuna mambo matatu, either umchague mgombea x or y au usipige kura kabisa. Tatizo mtu anaishia tu kukwambia usimchague flani basi, utatenganisha vp Hoja yake hiyo na chuki?
 
Back
Top Bottom