Mambo ya kuoa wake wengi ni mambo ya kizamani, kwa sasa hayawezekani. Zamani watu walifanya hivyo katika mazingira ya kijijini, mwanamke hata kama hatoshelezwi na Mume wake hana alternative kwa sababu wakati ule hapakuwa na Guest, ukigeuka ni vichaka tu.
Lakini kwa sasa kuna sehemu nyingi za Faragha, mwanamke akiona mume wake kaenda kwa mke wa pili, na yeye anaweza kwenda Guest faster akapewa dozi. Kwa ujumla, Msichana msomi na anaejitambua hawezi kukubali kuwa na Mume chovya chovya, hawezi kukubali ndizi yake iingie kwenye mdomo wa kila mtu
Nimerefer kwa dini ndugu yangu mathna wathalatha
Nimependa ulivyojibu kwa busara, stay blessed
Sasa hawa kina sisi heeeee huyo mume mbona atakufa siku si zakee
Kama unamashamba oa hata watatu wagawie mashamba wakakulimie hv watakuwa bze na kilimo wala hutasikia kelele za mtu.
my dear mathna wathalatha wa'arba'a wawili tu umeingiajoto wanne utmudu
back to topic iko hivi mume ndie mpangaji zam wake hukubaliana au kuridhia na lile aliloleta mume mbele ake. ktk upangai huo wa zam lazma haqqi iwe sawa bin sawiya viginevyo kesho kwa Allah ana jukumu kubwa unaweza kudumu nawake hata wanne ts very simple. ni ngumu sana kwa wake kukubaliana ila haitakua namani na ndoa yako kama utafanya siri kuhusu ndoa yako mpya mana itakua ngum kupanga zamu.
yaani mam ukweli ni kwamba wengi wamekuwa hawajielewi dini inasema hivi ukiona una uwezo wa kuoa oa la huwezi funga kuepuka matamanio yako ila wengi wanajipa moyo ntaoa mana ni sawa na kuzaa watoto wengi katika familia kua kila mtoto anakuja na riziki ake ndo wanavodhani hata wake wengi ukioa kila mke huja na riziki ake jambao ambalo ni uongo na gum kama mme hayuko personally stable ni ngumu kuoa wake wengi (kama nitakua nimekuelewa mam)
Wewe ni ustaadhat nini? Hebu nipe Ilmu kidogo dada kuna jambo linanisumbua...itakuaje katika ugawaji wa mirathi kwa Mume mwenye wake watatu atakapofariki? Na vipi hao wanawake wataruhusiwa kuolewa kila mtu na mumewe mpya bila masharti? Shukran
Kweli, hawa kaka zetu hili swala hawaliwezi kwanza sababu ni wavivu, wenzao waarabu na wapemba ndio wanaweza kumudu hata wake 4. hawa weusi mangala hawa, waachane kabisa hiyo habari, maana mke mmoja tu anawatoa kamasi.
mmmmmh hata hayo mashamba still yataleta kelele tu mama
hata mie sijamuelewa ana maanisha nini
Basi naona ulipitiwa tu au mi ndo sikukuelewa unamaanisha nini. Ujue nimekukopi baada ya kuona ulivyomjibu hapa
By mchakavumlasanaIli uweze kudumu na wake wawili
1. Ukishapanga ratiba marufuku kuibadili
2. Hakuna kufatilia wake zako we ridhika tu
Ulivyoandika wewe (hasa hapo kwa red):
ndoa za dizaini hii mama ni zinahitaji mengi zaidi ya hayo ni kweli ukipanga ratiba usibadili ile je kuna mambo yatatokea kati ugonjwa au kitu chochote kile kitakachofanya zamu iingiliwe unadhani itakuaje hapo???
namba mbili nakubaliana nawe.
Labda niseme kitu ndugu yangu nilimuelewa kwa maana kua ukiwa umeshapanga ratiba na kufuatwa na unawahudumia ipasavyo hakuna hAj ya kuanza kuwafatilia kwa namna yeyote ile labda itokee lipo jambo LA lazima kufatiliwa hivo ndo ambavo nimemwelewa Ila nilisahau kudadavua tu hapo sjui utakua umenielewA
Binadamu wa kiume, kama wanyama wengine, hakuumbwa kuwa na mke mmoja.
Angalia sensa zote - duniani kote - wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Ndio maana watu husema wameoa mke moja lakini hutembea nje.
ndugu yangu mie sio ustadhat ila najibu kulingana na kile nachofaham kwa swala lako hili kwa kweli ntakujibu kadri navyoelewa kuhus mirathi asee hapa sielew ila nachojua ni kwa mke mmoja inakuaje kuhusu mathna hii ya wake zaidiya wawili sijui ila wakimaliza eda zao ruksa kuolewa kwingine kwa idhni yake mke mwenyewe na mawalii (ndugu) wa mke kukubali pamoja
japo utambue kua mtu akishaolewa mara ya kwanza akaachika au kuolewa kwingine haolewi kwingine mpaka ipatikane ridhaa ake yake mwenyewe kama mke na akiridhia ruksa ndoa si kama anayetaka kuolewa sasa kua idhini iko chini ya walii zake na yy mwenyewe kama ntakua nimekujibu sahihi ila najitahid kukutaftia ufumbuzi juu ya hili la mirathi nitakujibu pindi pale nitakapopata elim zaidi. niwie radhi kwa kukujibu late.
cc. Zamilunizamiluni FaizaFoxy kwa msaada zaidi.
this is nonsense!! anyway politrix katika ubora wake sikushangai
ahahahahha mam nimecheka hiyo sentensi ya mwisho. ila mam sio wote wapo weusi wanaweza hili