Dah, mkuu umenilenga mm nn? Huyo ni yule anajifanya demu wangu, mwanzo aliniambia hataki hela, kipindi cha nyuma kidogo akaniambia nimtumie laki 1, nikamuambia sawa nitakutumia, Juzi tena kabla ya kumtumia ananiambia simu yake imepasuka nimpe laki 2 ataengeza 70 ili anunue simu, nilichoka, yaani mpaka sasa nimezima simu hanipati tena na huu usiku nitamuekea maamuzi, yaani hawatumii ata akili kwenye kuomba, alaf eti anasomesha Nussury uyoo duh, ata atumie akili kwenye kuomba basi dah
Sent using
Jamii Forums mobile app