emavalery
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 628
- 1,249
Hello Members,
Hongereni kwa kuendelea kukabiliana na Covid-19.
Leo naomba niulize sijui nina moyo mwepesi au nina huruma sana, ila naona sio sawa kumblock mtu kwenye simu yako, iwe whatsap au kawaida.
Mimi simu yangu haina namba ambayo ipo karantini hata moja,bora niongee nae taratibu kuwa usinipigie maisha mengine yaendelee, asipoelewa ni yeye ila sitopokea wala kujibu text za muhusika.
Naona kama dhambi vile, hata nikiblock after two days naitoa.
Au sijakutana na ving'ang'anizi???mimi ni me.
Nishaletaga mada ya kutafuta mke nilimpata na tulifunga ndoa,na nina amani ya kutosha.
asante sana JF,
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app