Unawezaje kujikomboa na wazazi wanaokupelekesha

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,030
Ni swali tu,

Biblia inasema katika kitabu Cha waefeso 6:3-1 Enyi watoto watiini wazazi wenu katika Bwana.Waheshimuni wazazi wenu Kwa kuwa hii ndyo amri ya kwanza Yenye ahadi.

Lakini pia Inaendelea kusema

Nanyi wazazi muangalie msiwakere watoto wenu Kwa kuwasababishia wakasirike.

Swali ni hili,

Kwanini wazazi wengine Bado wanawafuatilia watoto wao ambao wamekuwa watu wazima tayari na wameshaoa.

Swali lingine,
Kwanini wazazi wengine hawataki kumruhisu mtoto{ Mwanaume) kwenda kutafuta maisha baada ya kumaliza degree.Tatizo ni nini mtu anamaliza degree anakaa nyumbani hata Miaka mitano.
 
Fanya uamuzi aisee, mzazi anayekupotosha hakuna laana

Hivyo wape heshima yao lakini uamuzi baki nao mwenyewe

Na hii ni hasa katika masuala ya msingi na upo sahihi, ila kama wewe ndio unayumba halafu unaelezwa ukweli hautaki hapo sasa ni juu yako
 
WAZAZI WACHAWI NA WANGA WENGI SANA. mpk ukija kufunguka macho too late.
 
Back
Top Bottom