Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Achilia mbali mlevi, mimi nikishaona ameshika Heineken, savanna etc ndio naachia hapo.Kuoa mwanamke mlevi ni hasara
Kwa nini mkuu..Hembu nipe sababuKuoa mwanamke mlevi ni hasara
Mkuu hembu share experience..Achilia mbali mlevi, mimi nikishaona ameshika Heineken, savanna etc ndio naachia hapo.
Kuna kuonja na kuw mleviTena janga kubwa sana kuoa mlevi
Wanajijari wao tuMtu asinywe hata mojito.........hivi mkoje.......?.....
We mama izo bia za kiumemie napenda sana , mwanaume ninaekuwa nae aninunulie sana castle milkstout baada ya hapo...atatoa adith zot za kwao loooh!
nnazo zipenda mie..maana my guy huwa anaejoy mziki.We mama izo bia za kiume
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]nnazo zipenda mie..maana my guy huwa anaejoy mziki.
Wanajijari wao tu
Sie tunawavumilia hata wakiwa walevi
Ila sie tukinywa hata lite 4tu, majangaaa
Duu kwa hyo usipokinywa hadithi hazitokimie napenda sana , mwanaume ninaekuwa nae aninunulie sana castle milkstout baada ya hapo...atatoa adith zot za kwao loooh!
Mtu asinywe hata mojito.........hivi mkoje.......?.....
yah huwa zinanletea nye. .. sana , hasa kama najua naenda faragha na my manDuu kwa hyo usipokinywa hadithi hazitoki
Kirikuu ndo nini....Mi sijui wakoje........eti hata kirikuu mtu usionje.......castle light nakunywa........na Ballantine nakunywa vile vile......