Unawezaje kuacha tabia ya kununua malaya for sex?

Kuna aina tatu za wake:-

1. Mke Mkeo
2. Mke Jina
3. Mke Wetu

Inatakiwa uoe aina ya kwanza ya Mke huwa hakuna usumbufu wa masharti na hata akiwa sayarini atatafuta alternative ya kuwatoa wazungu.
Nimekusoma vzr kabisa kiongozi. Ma hawa wapo wachache sana.
 
Hii tabia nilianza mwaka 2007 nikiwa Form Four nikiwa nina miaka 17 ilikuwa ni pale Manzese Uwanja wa fisi kipindi kile elfu moja tuu bao moja nilipoanza kununua papuchi

Hii tabia nimendelea nayo hadi saivi nina miaka 34 bado yale maeneo bado naenda na tabia ya kununua malaya nimekuwa too clonic yaani inafika hatua haipiti week lazima nigonge njee licha ya kuwa na mpenzi

Nifanyeje ili hii tabia niweze kuiachaa. Ya kupenda kununua malaya maana nikipata hela kidogo Basi natafuta demu wa njee
Duh kumbe tuko na watoto wetu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni Roho na kifungo kamili. Nashauri uombewe na uokoke la sivyo hutachomoka huko hadi mauti na uzeeni kwako. Mimi nilikuwa hivyo hivyo na nina uzoefu huo hadi Mungu alipoingilia kati sasa nina mke na watoto wanne. Kuwa na utulivu na muombe Mungu atakusaidia kwani wewe ni mtu mzuri unajitambua na unatamani kutoka kwenye vifungo na utumwa wa dhambi ya zinaa.
 
Hii tabia nilianza mwaka 2007 nikiwa Form Four nikiwa nina miaka 17 ilikuwa ni pale Manzese Uwanja wa fisi kipindi kile elfu moja tuu bao moja nilipoanza kununua papuchi

Hii tabia nimendelea nayo hadi saivi nina miaka 34 bado yale maeneo bado naenda na tabia ya kununua malaya nimekuwa too clonic yaani inafika hatua haipiti week lazima nigonge njee licha ya kuwa na mpenzi

Nifanyeje ili hii tabia niweze kuiachaa. Ya kupenda kununua malaya maana nikipata hela kidogo Basi natafuta demu wa njee
Simple, we ni mwanamme wa Dar....ukiwa unafikiria kwenda uwanja wa fisi kununua mizoga tafuta mwanamme mwenzako akushikishe ukuta, utaacha tu.
 
Back
Top Bottom