Kweli lugha ya malkia utata mtupu!!!!Mungu anasingiziwa kwa mengi! Ila nimempenda, anatabiri vifo kajipatia ujasiriamali hapo
Kweli lugha ya malkia utata mtupu!!!!
"Vieira defies predictions of death........" haimaanishi kuwa anafanya utabiri wa vifo, but it means kuwa ameendelea kuishi pamoja na kuwa watu walimtabiria kifo.
Kweli hii lugha ilikuja kwa meli
Mimi nikajua sijasoma vizuri, ilibidi nirudi ili nione ni wapi habari imesema anatabiri vifo aisee. Asante kwa ufafanuzi.Kweli lugha ya malkia utata mtupu!!!!