Unaweza ukamtupia baharini!

Unaweza ukamtupia baharini!

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
MTOTO: Baba naomba hiyo glass.
BABA: Njoo uchukue mwenyewe.
MTOTO: Baba bwana naomba.
BABA: Halafu we mtoto ntakuja kukupiga.
MTOTO: Basi ukija kunipiga njoo na hiyo glass..
 
haaaaaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiighhh
 
Hahahaha jamani ndo dotcom watoto hao wanachulia poa kila ktu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom