Unaweza solve kesi kubwa ukiwa umejizima data

Unaweza solve kesi kubwa ukiwa umejizima data

Kop0

Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
81
Reaction score
129
Sio kila kesi inahitaji utimamu wa binadamu, nyingine unatikiwa ujizime data ndo u solve.

Na kesi ya mshikaji wangu na mke wake walitengana kwa mda wa miaka wote washikaji zangu. Baada ya kupiga kilimanjaro zangu niliwapigia conference call sasa hivi wanarabuana huko.
 
mikasa ya mapenzi unaita kesi.Embu acha kutuchekesha. Kuna jamaa yangu alimtapeli mafwere yule anayetajwa na sativa hapa tulipo nipo na mafwere nimemnunulia kilo ya kitimoto na kisichana tunaomba yahishe .
 
1748207754389.jpg
 
Back
Top Bottom