Unaweza mwambia mpenzi wako mpya makosa yako uliyofanya hadi ukaachwa?

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Ni swali fupi tu hapa na sababu ni fupi tu ya kuletwa kulewa hili swali...

Sio rahisi mtu anapoanzisha mahusiano mapya kusema kuwa yeye ndio kaachwa au yeye ndio alifumaniwa ndio ikawa sababu ya yeye kuachwa.ila wengi huwa wanasema upande wa pili kuwa kuwa ndio wenye makosa na wao ndio waliwaacha baada ya upande wa pili kuwafanyia hayo makosa.

Mimi kwa sehemu yangu huwa siwezi kusema vibaya upande niliotoka hata kama wenyewe ndio wenye makosa maana kile kitendo cha kukubali kuwa na mahusiano tu, inaonesha kuna mazuri mengi yaliyosababisha niwe naye hivyo kuachana sio sababu ya mimi kumuona na kumsema vibaya

Sasa kwako, kama ulishawahi acha na wewe ndio mkosaji unaweza eleza kosa hilo kwenye mahusiano mapya?
 
moja kati ya swali pendwa uwa ilikuwaje ukaachana na hule wa zamani, ??? au ulisha wahi kuwa na wangapi<???? ukweli huwa yananikira sana hayo maswali
 
TAFADHALI kufanya hivo kuna athari . Rejea ule uzi wa jamaa yule mtafiti wa JF alosema

"utakachomwambia mpenzi wako siku ya kwanza ndio atakutukania siku mkigombana".

Naomba huu uzi ueshimiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom