huyu atakuwa anapungiwa huyu
ndio nini? kuhemewa au?
na hiyo ya juuJamani kama haiwa fit waache inao wafit wavae, to me hiyo wametengenezewa wenye mabusha hapo hawatabanwa na watakluwa wameepuka kuvaa misuli au mnafurahia wenzenu kuvaa misuli kila siku? bora madesigner wamewakumbuka hao maana walikuwa hawawezi kuvaa modal wala jeans.
Wenye mabusha wote jamani kivazi hicho mmeletewa nendeni mkatoe oda kwa designer msiseme ooh sie kila siku misuli tuu sijui le leleleleee.......................