Unaweza kutumia Rice-cooker kuchemsha uji?

Hellen Chris

Member
Nov 18, 2012
22
7
hey nahitaji kununua rice-cooker lakin naomba kujua kama inaweza kutumika kukaangia chips na kukorogea uji
 
Nijuavyo rice cooker inatumika kupika wali/ubwabwa tu.
Kuna aina ya rice cooker ambazo zinazweza pia kutumika kupika mchele wa aina tofauti mfano bismat rice, jasmine na huu wa kwetu ambao ni mojawwapo ya japanese varieties.

Kukaanga chips unahitaji kuwa na french frier na kukoroga uji sijui kama wanateknolojiaa wameshakuja na chombo maalumu! huenda kipo maana teknolojia inapaa na sio kukimbia!

Labda niwaachie wengine wanaweza wakawa wameshaona/kutumia technolojia ya juu zaidi.
kila la kheri.
 
Inaitwa Rice Cooker for God sake and not Uji Cooker, utaiua!
 
Rice cooker zipo za aina nyingi, zipo ambazo zinapika wali tu!!... Lakini pia zipo ambazo zina uwezo wa kupikia samaki kama mchemsho n.k lakini si kumkaanga!! Na zinakuwa na special plate kabisa ya kumweka samaki wako wakati ukipika mchemsho!!
 
Unaweza kabisa me mama angu ana tumia moja anapikia hadi mchuzi lakini ya kupikia wali anatumia nyengine subiri nimuulizie anafanyaje vile alafu ntakuletea majibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…