Unaweza kutia neno hapa?

Unaweza kutia neno hapa?

Sio siri dada kajaaliwa "STIMULUS PACKAGE" ya ukweli
 
Hahahaha...hii post yako nimeipenda! Mii nimerate kama post ya mwaka!!

Hahahahaha...... tatizo wakija wenyewe hapa patakua hapatoshi!!
POPOBAWA.
 
Siamini kama mimi na Saint Ivuga tu ndio tume like hii picha mmmm
 
Watu wengine mapovu huwa yanawatoka,oooh tunavunja maadili na utamaduni wetu watu wanatembea uchi hahaha kumbe sisi bana asili yetu kutembea bila nguo ni vibwaya tu! ukimpata huyo unaweza kujikuta umehamia Bush na wewe unaishi kwa kula matunda na mizizi
 
ngozi nyeusi utatujua tu...
Tunachanganyikiwagaje! Na mambo hayo...
 
Swit hat
tangu nikufadhili operation ya pua unataka kujidai mjanja?

Na bi mkubwa smile kaahirisha safari.

Hahahah...GM wa ukweli!
Hebu weka ya kwako hapa tuione? Niprove wrong ma dia
 
Hivi kwani hilo eneo lililovutia wengi watu wana shughuli gan nalo! Mi bado sijajua
 
Back
Top Bottom