Unaweza kutia neno hapa?

Unaweza kutia neno hapa?

hiyo ndio asili ya mtu mweusi mzee,kuvaa nguo za wamagharibi wakati wewe ni mweusi tiii ndio kujidhalilisha kaka,hapo swadakta kabisa ndo pahala pake

Watu wengine utawaweza basi. . utadhani walikua wanajua nguo kabla ya mzungu kuwaletea vitambaa.

Hehehehe wabongo walivyo na tamaa zilizopitiliza na sie tungekua tunatembea bila nadhani wangeshahalalisha ubakaji maana kesi zingezidi mahakamani.
 
mwenzanguu sipati picha,wabongo wanajifanya nyaya za uvumilivu zimekatika....wadada wangebakwa kama kuku,hii sasa tu watu kutwa kuchafuana kwenye daladala hasa asubuhi,hivi da lizzy we unadhani kwanini mifadhaiko inawatokea watu asubuhi tu kama kubanana kwenye daladala mbona hata jioni watu wanabanana lakini haitokei mifadhaiko?
 
Huyo ukimleta mjini aisee inabidi uwe mkali kama baba ubaya
 
hajanikimbiza bado. .

biashara matangazo.
Haya, mteja nimepatikana, ni-PM basi mrembo.
Utaje bei kabisa na uambatanishe picha za uthibitisho.
Nitatanguliza 50% ya malipo, halafu nusu nyingine baada ya tukio, ukumbi unachagua mwenyewe.
No bargaining, no freaking.
Sawasawa?
 
Chuchu chuchu, tak o tak o kweli! Walah huyo mtoto anawakimbiza wadada wote wa hapa JF!!

Maambo! afu ww unaniprove kinguvu nitupie ya kwangu hapa et?? situpii ng'o huyoo!
 
Maambo! afu ww unaniprove kinguvu nitupie ya kwangu hapa et?? situpii ng'o huyoo!
Hahahah...lol!
Mambo pouwa..kumbe hilo dongo umeliona!!! hebu iweke basi tuone kama umemfikia huyo!
 
Hizi ni dalili za maumivu kwa sababu we huna na unayatamani kama hayo!
 
Back
Top Bottom