Nitaenda pole pole utaelewa tu.... (na kabla sijafika mbali unadhani kwanini sio recommended kwa daktari kutibu immediate families )?
Matokeo ya logic ni sahihi sababu yanatumia uhalisia kama kijiji kina maji ya kuweza kulisha watu 100 population ikifika 80 watu lazima waambie waache kuzaa na kutumia uzazi wa mpango (logically wakizidi watu wote watakufa) ila emotions za binadamu zitasema otherwise kutokana na mzazi kuwa mzazi (au imani itakuwa kuwa kila mtoto ana riziki yake)
Kwenye hili suala ni probability kama kuwepo mama ni guarantee ya nusu ya watoto ku-survive na kutokuwapo kwa mama probability ni wote kufa utasemaje hapo logically huo sio uamuzi sahihi ?
Hapo ndio haujaelewa..., hapa issue sio wewe unajisikia vipi, issue ninayoongelea logically ni impact ya uamuzi wako.., matokeo yanamatter sana kama mzazi akiamua ndio aondoke na watoto / mtoto mwingine aliyobaki na yeye akafa kwa kukosa huduma ya huyo mzazi.., logic inaangalia pro and cons za uamuzi.., sasa wewe kufa kwako automatically utakuwa ume-sign a death sentence kwa mtoto aliyebaki.., utakuwa badala ya kuua mmoja umeua wote.., kwahio kama hio ndio scenario bila emotions easy decision itakuwa ni decision sahihi ya mzazi kubaki na mtoto mmoja kuliko wote kufa.., ingawa through emotions huenda na huyo mzazi akawa na majonzi ashindwe kumlea na aliyebaki.., hapo huenda therapy ikahitajika after the case...
Wanajeshi wanakufa ili wengine waishi ndio logic inavyosema.., kama vile inavyosema kwenye vita kwanza mgambo watangulie ndio wafe kuliko brains behind the war.., kwahio katika mizani ya logic mgambo hawezi kulinganishwa na mwanajeshi mwenye ujuzi zaidi..., kwahio utashi wa mtu binafsi kwenye hard decisions matokeo yake yana uwezekano mkubwa kutokuwa chanya (due to emotions) ila logic inayooangalia pro and cons za matokeo ya kufanya na cha kufanya, ni sahihi ingawa huenda yasiwe ya kibinadamu...