Unaweza kupenda kabla ya kutamani???????/

Unaweza kupenda kabla ya kutamani???????/

Ni kitu kinawezekana ila matamanio yana nafasi sana kwenye hili!
 
Kutamani kunaweza kutokea ghafla, kufikia kupenda ni mchakato. Ili upende unaanza kutamani. Mwisho unaweza kupenda au la.
 
possible
watu wana fall online kwenye id na avatar tu

Lakini "ukimpenda" mtu online utataka ukamuone, baada ya hapo ndo maamuzi makubwa yatafanyika kutokana na muonekano na vitu vingine ambavyo vyaleta kumtamani huyo mtu. Ila inawezekana kwa kiasi kidogo sana kupenda kabla ya kutamani kwanza kwa mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom