Unaweza kupanda hili?

Unaweza kupanda hili?

Roller coster. Huwa zinatisha sana kama ni mara ya kwanza.
 
Wadau wenye uzoefu naombeni mnipe dondoo ili nipate ujasiri wa kupanda hii kitu, maana nishawahi kuikimbia sehemu.
Huwa unajisikiaje?
Kuna angalizo lolote kuhusiana na ubora wa afya?maana niliwahi kwenda sehemu na shemeji yenu tukapanda bembea moja kama kikombe ambacho kinazunguka halafu kinakwenda juu na chini, Wallah sitarudia kugusa hiyo kitu maana nilidhani wa ubani anakata roho na mimi mwenyewe nilikua hoooi bin taaban.

Tafadhali naombeni mnipe dondoo ya hii "roller coaster" sababu udadisi unanisukuma kutaka kuipanda siku moja.
 
Duh !!! nadhani kwanza inabidi wakupime presha then labda upate na viroba vinne . Hivi hivi nasema NO
 
lazima utakuwa unaelement za kuoteshwa hivo wewe wawezakuwa mganga wakienyeji, maana wao ndio huota mandoto ya kutisha.

hahahaaaa... Kwani hata uganga si ajira bana!!! BTW nikiwa mganga ntapiga sana pesa!

Ngoja nitete na MziziMkavu kama ni nyota ua uganga nianze mchakato make life lenyewe sio kabisa pande hizi :loco: :loco:
 
Last edited by a moderator:
Kwa kua Bado napenda ugali huu mtamu, hiyo sitapanda, hata kwa lazima
 
HII napanda tena huwa tamu
sana inaamsha mwili....huwa inaleta msisimko wa mwili nafikiri
tunaopenda haya mavitu, naposema msisimko tupo pamoja.

Pamoja sanaa!! Natamani ingewa maeneo ya hapa Tz ili nifike hapo weekend ijayo!
 
HII napanda tena huwa tamu
sana inaamsha mwili....huwa inaleta msisimko wa mwili nafikiri
tunaopenda haya mavitu, naposema msisimko tupo pamoja.

Pamoja sanaaa! natamani ingekuwa ni maeneo ya hapa Tz weekend niweze kufika hapo.
 
Back
Top Bottom