Fa kijiko yupo karibu na maharuki muuza halua wa zamani. Mtendeni
Ah nimekusudia mtendeni alaf napenda nipite pale kwa bibi wa kihindi pananukia udi rahaaa mpaka kwa suma unafika lol
Fa kijiko yupo karibu na maharuki muuza halua wa zamani. Mtendeni
Ni corn flour,almond,majali ya chai na vyengine
Betri!Na hii ni nini pia?
![]()
Shukran
Betri ipo low charge?Betri!
Ubaya wake ni nini hiyo Haluwa?Halua hiyo. Ni Mbayaaaa...
Ah nimekusudia mtendeni alaf napenda nipite pale kwa bibi wa kihindi pananukia udi rahaaa mpaka kwa suma unafika lol
La. Si unakumbuka 'eveready' za wakati ule?Betri ipo low charge?