Unaweza kuniambia nini hiyo?

Unaweza kuniambia nini hiyo?

Miaka yangu yote nilipokuwa bongo sikuwahi kula pweza,nilikuwa siwapendi,nikaja kuonja ukubwani yaani ni watamu sana ndo walikuwa wananimalizia vichenchi

Yaani kama mie sikuwahi kula ugali wa muhogo hadi nafika 17 yrs old kuna dada wa kimakonde kama sikosei alipika siku hiyo first time kula nlivimbiwa since that day chakula namba 1 napenda ni ugali wa muhogo
 
Ugali wa muhogo sijawahi,ila nahisi ukizoea kitu utapenda tu,......

Ushawahi kula matembele?
 
Haya ni mambo ya kwa msomali pale kiembe samaki au round about ya michenzani kuna ustaadh mmoja anawakaanga watamu hao pembeni kuna juice ya miwa. farkhina atanisaidia kama nimekosea!

Yeah unapasemea michenzani block no 1 karibu maskan ya ccm kisonge pana juice fresh ya miwa
 
Last edited by a moderator:

Hewaaaaaa! Hapo haaapo, huyo baba anatengeneza pweza anawakaanga wanakua watam na ana pilipili yake sijui anatengenezaje mwenyewe unaweza kunywa chupa nzima jinsi ilivyo na ladha nzuri. Unashushia na glas moja ya juice ya miwa raha tupu. Pembeni watu wanaboresha afya kwa matunda ilimradi tu kuhakikusha miili inapata stahiki zake.
 
Wazuri, watamu sana lkn ghali
 
Actually Bush gfamily are already multibilionaires and most of their investemens are in arms companies like Lookheed Marti, Carlyle Group and by far Haliburton whose share values are sky roketing as the days go by with the war in two fronts(Iraq and Afghanistan)

In short they have a much bigger fish to fry than this...the only thing i feel sorry for GWB is that his (father GB sr) didnt do much so his kids wouldnt hustle like they do now

Fa kijiko yupo karibu na maharuki muuza halua wa zamani. Mtendeni
 
Alafu iyo picha ya halua apo mahali kama malindi pembeni kwa kijiko muuza urojo..
Mrs Kharusy hebu njoo

attachment.php

Dah! nilikua sijui kwamba kuna HALUA ya karanga, nilizoea kuona za ufuta tu, hii ntaitafuta.

MziziMkavu huku ukishasema kahawa hauna haja ya kusema chungu, hilo linajulikana.
Zaidi unapata vitu kama tende na kahawa ila sukari kwenye kahawa mwiko kabisa.

Sasa mpishi wetu naomba nikuuliza swali Bi farkhina, hivi contents za Halua hua ni vitu gani?
Na sijajua inatengenezwaje japo najua kuna mafuta na sukari ila lile li nyama laini sijajua ni kitu kani hicho. Shukrani
 
Last edited by a moderator:
Chakula cha" terrorlsts"
Mkuu sugi kama huna kitu cha kusema bora si unyamaze kuliko kuzunguza maneno yako ya Pumba hayo? Mbona unaniharibia Thread yangu? Umetumwa nini huko waliko kutuma waambie wakome kukutuma tena tupo sawa wala hatuogopi Mtu.

Hewaaaaaa! Hapo haaapo, huyo baba anatengeneza pweza anawakaanga wanakua watam na ana pilipili yake sijui anatengenezaje mwenyewe unaweza kunywa chupa nzima jinsi ilivyo na ladha nzuri. Unashushia na glas moja ya juice ya miwa raha tupu. Pembeni watu wanaboresha afya kwa matunda ilimradi tu kuhakikusha miili inapata stahiki zake.
Mkuu Samaritan Msamehe huyu mkuu sugi ni kama kipofu ambae amekosea njia hajuwikile anacho kisema anaropoka kama maji ya toilet.
 
Mkuu sugi kama huna kitu cha kusema bora si unyamaze kuliko kuzunguza maneno yako ya Pumba hayo? Mbona unaniharibia Thread yangu? Umetumwa nini huko waliko kutuma waambie wakome kukutuma tena tupo sawa wala hatuogopi Mtu.

Mkuu Samaritan Msamehe huyu mkuu sugi ni kama kipofu ambae amekosea njia hajuwikile anacho kisema anaropoka kama maji ya toilet.

Maalim tulishasamehe na tunaendelea na maisha mkuu, umepotea sana Senior!
 
attachment.php

Dah! nilikua sijui kwamba kuna HALUA ya karanga, nilizoea kuona za ufuta tu, hii ntaitafuta.

MziziMkavu huku ukishasema kahawa hauna haja ya kusema chungu, hilo linajulikana.
Zaidi unapata vitu kama tende na kahawa ila sukari kwenye kahawa mwiko kabisa.

Sasa mpishi wetu naomba nikuuliza swali Bi farkhina, hivi contents za Halua hua ni vitu gani?
Na sijajua inatengenezwaje japo najua kuna mafuta na sukari ila lile li nyama laini sijajua ni kitu kani hicho. Shukrani

Ni corn flour,almond,majali ya chai na vyengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom