Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Umekosea kidogo Mkuu ChimunguruTende bin halua
gorgeousmimi mambo yetu hayaNa hii ni nini pia?
![]()
Mambo mazuri haya!!Upate na pilipili yako pembeni hapo!!!gorgeousmimi mambo yetu haya
Na hii ni nini pia?
![]()
Kapten sisi huku hayo ni mambo ya kawaida kabisa jioni jua likishatulia unanyoosha nyoosha miguu tartiiib unajisogeza mahali unapata mambo yako swafi unaendelea na ustaarab mwingine. Kwa ufupi maisha Unguja ni stressless mkuu.nina oda ya wiki mahali fulani
Mambo mazuri haya!!Upate na pilipili yako pembeni hapo!!!