Unaweza kumuona hapo askari? Yupo wapi?

Unaweza kumuona hapo askari? Yupo wapi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
487236_544815518890096_1572008810_n.jpg
 
Yahitaji umakini wa kupitiliza kumgundua aisee! A perfect camouflage! YUpo hapo B1 kama walivyokwisha sema wadau hapo juu!
 
B1 ni ngumu kumuona lakini sintoshangaa kwa wanajeshi wengine kutambua kwamba hapo kuna mtu. watu wanajua kuyasoma mazingira anayowazunguka.
 
Mkuu mi nimeshindwa kabisa kumuona au natakiwa nivae miwani gani?
 
Anaweza kuwepo ila wakati hii picha inapigwa itakua alienda kukata gogo pembeni kdg. Maana nishazoom weeeee sioni kitu wajameni.
 
kama sio MMM ningeuvaa mkenge... mie niliona A1 tena kule juu kama wako kwa mbaaali
 
Back
Top Bottom