Unaweza kumsomesha mchumba wako?

Unaweza kumsomesha mchumba wako?

Ww somesha tuu mwenzio wiki ya mwisho field anamalizia aliniacha solemba na machozi na jana yake ndo nlitoka kummalizia fees laki8 ila somesha and don't expect anything in return

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

pole mkuu, regards
 
Msomeshe tu kwa kumsaidia usitegemee malipo ya ndoa. Rafiki yangu alisomesha Forest Secondary hadi Mzumbe University lakini aliambulia patupu baada ya graduation tu, ila ilimuumiza sana jamaa yangu.
 
Naweza kumsomesha na ni ujasiri kufanya hivyo, watu wengi tumekuwa blinded sana na maisha tuliyonayo leo tukasahau kuna kesho...yes! Kwanini usiwaze kwamba kama ikitokea mmekuwa na future ya pamoja na ikatokea depression ya maisha kwa upande wako msasa uliompiga then wife wako angali msichana utakusaidieni kwa pamoja kwenye hivyo transition period?

Hivi unajua dada zetu wakiamua kuwa na umoja wao wa kususia kuwasaidieni mihemko yenu kwa kuwa mnadhani hitu tu ef kumi kumi mnakowapa ni kuwanunua mtaoana ninyi kwa ninyi? Chuo cha ualimu say ni 720,000 kwa mwaka kwanini usipige hesabu ndogo kuwa hii ni sawa na kumpa sh 2000 kwa siku ama sh 60,000 kwa mwezi? Wee unadhani hii inaendana na huduma unazopata kwake ukiwa na mihemko? Kaa chini uwaze tena kisha utuambie kama hutamsomesha!
 
You can do that, but AT YOUR OWN RISK. Somesha bila kutarajia kuvuna chochote kutoka kwa msomeshwa, otherwise nunua AK 47 au SAR.

Mkuu kwani hiyo imekuwa PARKING?

No-Parking-Signs-1001B-ba.gif
 
Kuna mmoja walizaa kabisa na mtoto, binti akaja chuo kikuu. Weeee, mwaka huo huo wa kwanza akambwaga kama kasimama.


Mapenzi hayana guarantee, kumlazimisha mtu abaki na mwenzi wake kisa alitenda wema nao ni kumnyima fursa ya kuishi kwa amani. Maisha ya mapenzi hayaishi baada ya watru kufunga ndoa, akchwale ndio yanaanza. Kuishi na mtu hadi kifo kiwatenge si jambo la kujitoa sadaka, ni jambo la kuacha moyo wako uridhie.

Kuliko kuishi na mtu na baadae kuwa namchit daile, au namletea watoto mamluki, bora kumwacha mapema, walau anaweza kupata wa kumthamini for real.

nimeshuhudia mwalimu wangu akisomesha kuanzia form one mpaka form four kwa makubaliano ya kuja kuweka mzigo ndani,

baadae mtoto wa watu akaonja matunda mema ya nje, akamruka mwalimu wangu wa soil profile maneenah zake,

mwalimu mpaka leo anaugulia makato ya mshahara aliyotumia kama ada....

dickhead.... wanawake ni kama biashara, usipokuwa na insurance unaumia mazima kabisa..!

dont trust too much, ndio maana wengine kwanza wanatiwa mimba na kuzalishwa ndio wanaanza sasa kusomeshwa
 
Mi hii kitu sijaribu hadi kama nataka return, ila nitamsomesha tu bila kuangalia malipo
 
Wana JF.

Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?

Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.

Maoni yako ni muhimu sana hapa.

Heeehhhhh

tumechoka kusikia "suicidal" incidents!!!

do it at your own risk.
 
Kuna wanaume jamani wana mioyo ya malaikaaa,mi wangu simuachi labda aniacheee maana huko kwingine sioni kama kuna jipyaa zaidi ya kumuona wangu mpyaa
 
Asante Brigedia ila ni somo tosha sana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
nimeshapata faida sasa na somesha degree ya pili....
 
Usijaribu baba wasaliti hawa:
hadi ninavyoongea ninamtumia Nurse ambaye amesomeshwa na ----- mmoja ambaye hata pesa za kujikim kabla hajaanza kupata mshahara alikuwa anamtumia na nimeshamtia mimba.
 
Back
Top Bottom