Unaweza kukaa siku ngapi bila kufanya mapenzi?

Unaweza kukaa siku ngapi bila kufanya mapenzi?

Simu Janja Nilianza kutumia 2011 ilikuwa Idios wakati ule, Kabla ya Hapo Nilikuwa Nikimiliki Simu janja kwa wakati ule Nokia E72
Sawa mkuu, kuna jambo nililokua najaribu kulizatama kwa ukaribu
 
Nikiwa safari naweza vumilia miezi 2,nikiwa karibu naye siwezi vumilia;bakora ni kila siku.
 
Acha kupiga punyeto humu ndani kuna muda huwa mnakutana vijana kudanganyana punyeto siyo mbaya ila nakuhakikishia punyeto ni hatari kuliko kitu chochote kwa mwanaume,yaani baada ya kifo kitu kingine cha kuogopa ni kujichua na hiyo ni thriller tu movie linalokuja ni la kibabe sana take it from me buddy!!!
Mkuu hayajawakuta kabisa hao watu.
Punyeto mbaya sana tena sana sana sana sana.,hawajui madhara yake lakini lazima ikuumbue mkuu.na njia rahisi ya kuacha ni kuwa iwe imekuumbua kwa umpendae,hapo saikolojia yako lazima ibadilike ione kwamba ni jambo baya lenye madhara.lakini wanaosema haina madhara hayajawakuta.

Tathmini inaonyesha kwamba wengi waliobobea katika punyeto walifanikiwa kuacha kwa kuwa ilishawaumbua kwa wapendwa wao.na hiyo ndo njia makini zaidi.
 
Back
Top Bottom