Unaweza kujaribu?

Hata kwa kuwekewa mtutu nitasema - nimalize kiongozi
 
Watakuwa wamepagawa na mapepo hao!
 
Mi naawambia watu kua bangi na viroba vya wenzetu vikali sana wanabisha haya ivi hata uvute gunia zima la cha-Arusha utajitoboa kama hili jehu?
 
Shetani kazini ana watumikisha watu mpaka huruma
 
Kiongozi pamoja na kuwa siwezi kujaribu,hebu
niambie,hiyo midomo ya pembeni inafunga?au lango la police station?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…