Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

wamefuata ubwabwa, tishirt na kanga, hawajui shida zinazowakabili sio ubwabwa wa siku moja au tshirt, kanga na kofia.
 
Hao wanajua Rais wa Tanzania bado ni Nyerere! Ujinga mtaji mkubwa kwa Magamba
 
Wa kung'oa kuja ni usalama wa taifa ww ndo kz yao nani asiyewajua? Khanga na kitenda ndo janja yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…