Unaweza kuitambua? Inaitwaje?

Unaweza kuitambua? Inaitwaje?

Ebwanaaaeeeeee Asante sana sana mkuu. Nineipataaaa ndo yenyeweeeeee uuuhuuuuuuu shukrani sana. Nishaitafuta mtandaoni ndo hii hiii kaka. Asante
Aya sasa mkuu sasa ya soda hatupati😁🤓
 
Bongo movie? Jambazi anavua viatu mlangoni, sumu inakorogwa alafu inaonjwa
Bongo movie yani zilinishindaga kabisa kuangalia. Sio bongo movie ni Vintage point. Itafute na wewe uiangalie ni bonge la movie,niliiangalia kidogo tu kali sana.Leo sasa ndo naicheki yote Full Movie
 
Sawa mkuu
 
Mambo vipi wakuu.
Ebwana kuna movie moja niliwahi kuiangalia miaka mingi sana iliyopita,yani kitambo sana sikumbuki hata ilikuwa stesheni gani ya TV. Bahati mbaya umeme ukakatika hivyo sikupata tena nafasi ya kuiyona yote na bahati mbaya sikuifahamu jina la movie maana nilikuta ndio imeanza kama dakika chache zishapita.

Iko hivi:

Ni tukio la kushambuliwa kwa kiongozi mmoja kama sijakosea alikuwa ni rais wa nchi akiwa kwenye mkutano na wananchi katika eneo la wazi.
Kila character aliyehusika kwa karibu katika shambulio lile eidha kwa kuwa upande wa maadui au upande wa stelingi basi movie yenyewe ilikuwa kama inajirewind hivi kuonyesha kila muhusika jinsi alivyoanza huko mpaka kufika pale kwenye tukio.
Yani wahusika wote main katika movie vipande vyao vya nyuma vilikuwa vinaonyesha uyo muhusika alipotokea mpaka akawepo katika eneo la tukio.

Yani ile movie ilianza kwa kuonyeshwa mwishoni lakini kadri inavyoendelea kila tukio la nyuma la muhusika flani linaonyeshwa mpaka kujikuta apo eneo la tukio hilo.

Dah sijui nimeeleweka.

Yani movie flani hivi imeanza kwa matukio ya mbele alafu ndo inarudishwa nyuma.

Kama umeweza kunielewa na unaijua hiyo movie basi naomba jina lake.

Samahani lakini maana maelezo yangu hayajajitosheleza.

MREJESHO:

Nashukuru sana wadau,movie nimeipata ndo hiyo hiyo kama nilivyoambiwa humu inaitwa VINTAGE POINT.
Kwa wapenda movie wezangu,itafute hii nayo uicheki kama bado hujaiona. Kudo
Kwa kwel hii movie na mm nimeitafuta sanaa.. niliangalia mwaka 2012 ... Mpka kesho bado cjaijua inaitwaje.. naitafuta sana
 
Wadau wameitaja humu inaitwa VINTAGE POINT.
 
Mambo vipi wakuu.
Ebwana kuna movie moja niliwahi kuiangalia miaka mingi sana iliyopita,yani kitambo sana sikumbuki hata ilikuwa stesheni gani ya TV. Bahati mbaya umeme ukakatika hivyo sikupata tena nafasi ya kuiyona yote na bahati mbaya sikuifahamu jina la movie maana nilikuta ndio imeanza kama dakika chache zishapita.

Iko hivi:

Ni tukio la kushambuliwa kwa kiongozi mmoja kama sijakosea alikuwa ni rais wa nchi akiwa kwenye mkutano na wananchi katika eneo la wazi.
Kila character aliyehusika kwa karibu katika shambulio lile eidha kwa kuwa upande wa maadui au upande wa stelingi basi movie yenyewe ilikuwa kama inajirewind hivi kuonyesha kila muhusika jinsi alivyoanza huko mpaka kufika pale kwenye tukio.
Yani wahusika wote main katika movie vipande vyao vya nyuma vilikuwa vinaonyesha uyo muhusika alipotokea mpaka akawepo katika eneo la tukio.

Yani ile movie ilianza kwa kuonyeshwa mwishoni lakini kadri inavyoendelea kila tukio la nyuma la muhusika flani linaonyeshwa mpaka kujikuta apo eneo la tukio hilo.

Dah sijui nimeeleweka.

Yani movie flani hivi imeanza kwa matukio ya mbele alafu ndo inarudishwa nyuma.

Kama umeweza kunielewa na unaijua hiyo movie basi naomba jina lake.

Samahani lakini maana maelezo yangu hayajajitosheleza.

MREJESHO:

Nashukuru sana wadau,movie nimeipata ndo hiyo hiyo kama nilivyoambiwa humu inaitwa VINTAGE POINT.
Kwa wapenda movie wezangu,itafute hii nayo uicheki kama bado hujaiona. Kudo
Mcheki jamaa yangu Gily
 
Vintage Point

Atume movie nyingine ambayo hakuiangakia umeme ukakatika
Kuna movie flani nayo nilikuwa naicheki sema nikapitiwa na usingizi kushtuka imeisha.Nayo nilikuta ishaanza

Ipo hivi

Kuna jamaa mmoja raia tu wa kawaida katika nchi fulani ila amefanana copyright na rais wa hiyo nchi. Sasa sikumbuki vizuri kulikuwa na shida gani mpaka yule rais hakutakiwa kujitokeza mbele za watu basi watu wa system wakaenda kumchukua huyo jamaa aliyefanana na rais ili aweze kuact kama yeye ndio rais husika kutokana na kufanana kwao kama mapacha kabisa.Nilipoishia ni kwamba jamaa tayari ameshapachikwa kama yeye ndio rais ingawa bado kuna zile protocol alikuwa haziwezi kuziigilizia na sometime anakuwa kama raia wa kawaida ambapo ilikuwa inawapa wakati mgumu sana watu system, dah sijui iliishiaje?

Naomba jina lake kama umeshaifahamu hii nayo. Gily
 
Hii movie inaitwa DAVE (1993)

unaangalia movie za namna gani mbona za kizamani sana😃
 
Hii movie inaitwa DAVE (1993)

unaangalia movie za namna gani mbona za kizamani sana
Daaah ebwana kweli aisee. Nimeicheki you tube ndo yenyewe. Daaah mkuu umetisha sana.Ngoja niangalie jinsi ya kuidownload sasa niicheki vizuri.

Movie za kitambo mi huwa nazikubali sana. Kama kuna zingine unazifahamu niorodhoshee tu kaka nizitafute nipambane nazo.
 
Unapenda kitu gani?
1 comedy
2 drama
3 action
4 fantasy
5 horror
 
Unapenda kitu gani?
1 comedy
2 drama
3 action
4 fantasy
5 horror
Namba 1 mpaka 4, sio mpenzi wa horror kabisa ila huwa naangalia ikiwa inazungumziwa sana. Horror tunaweza tukaireplace na Intelligency (Espionage) movie
 
Back
Top Bottom