Unaweza kuitambua? Inaitwaje?

Unaweza kuitambua? Inaitwaje?

DOKEZO

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
323
Reaction score
499
Mambo vipi wakuu.
Ebwana kuna movie moja niliwahi kuiangalia miaka mingi sana iliyopita,yani kitambo sana sikumbuki hata ilikuwa stesheni gani ya TV. Bahati mbaya umeme ukakatika hivyo sikupata tena nafasi ya kuiyona yote na bahati mbaya sikuifahamu jina la movie maana nilikuta ndio imeanza kama dakika chache zishapita.

Iko hivi:

Ni tukio la kushambuliwa kwa kiongozi mmoja kama sijakosea alikuwa ni rais wa nchi akiwa kwenye mkutano na wananchi katika eneo la wazi.
Kila character aliyehusika kwa karibu katika shambulio lile eidha kwa kuwa upande wa maadui au upande wa stelingi basi movie yenyewe ilikuwa kama inajirewind hivi kuonyesha kila muhusika jinsi alivyoanza huko mpaka kufika pale kwenye tukio.
Yani wahusika wote main katika movie vipande vyao vya nyuma vilikuwa vinaonyesha uyo muhusika alipotokea mpaka akawepo katika eneo la tukio.

Yani ile movie ilianza kwa kuonyeshwa mwishoni lakini kadri inavyoendelea kila tukio la nyuma la muhusika flani linaonyeshwa mpaka kujikuta apo eneo la tukio hilo.

Dah sijui nimeeleweka.

Yani movie flani hivi imeanza kwa matukio ya mbele alafu ndo inarudishwa nyuma.

Kama umeweza kunielewa na unaijua hiyo movie basi naomba jina lake.

Samahani lakini maana maelezo yangu hayajajitosheleza.

MREJESHO:

Nashukuru sana wadau,movie nimeipata ndo hiyo hiyo kama nilivyoambiwa humu inaitwa VANTAGE POINT.
Kwa wapenda movie wezangu,itafute hii nayo uicheki kama bado hujaiona. Kudo
 
Ukipata wale bongo holwood...yaani wauza movie kwenye flash wale jamaa Ambao movie imetoka Leo huko holwood kabla haijafika hata new York au ulaya taayari jaama wanayo wee fika kwao tu ukiongea para moja ' yaani maelezo ulio toa Hapa Ni marefu
Nenda sema hivi movie ya raisi yenye matuko yanayo jirudia au kijielezea Aina ya kila character.
Hao watakupata tu na kukupa movie yako'.
 
Movie inaitwa Vantage Point ameigiza Forest Whitaker.
Alikuwa na camera yake anarekodi matukio katika hituba hiyo ya Rais.
Vantage_point_08.jpg
 
Mambo vipi wakuu.
Ebwana kuna movie moja niliwahi kuiangalia miaka mingi sana iliyopita,yani kitambo sana sikumbuki hata ilikuwa stesheni gani ya TV. Bahati mbaya umeme ukakatika hivyo sikupata tena nafasi ya kuiyona yote na bahati mbaya sikuifahamu jina la movie maana nilikuta ndio imeanza kama dakika chache zishapita.

Iko hivi:

Ni tukio la kushambuliwa kwa kiongozi mmoja kama sijakosea alikuwa ni rais wa nchi akiwa kwenye mkutano na wananchi katika eneo la wazi.
Kila character aliyehusika kwa karibu katika shambulio lile eidha kwa kuwa upande wa maadui au upande wa stelingi basi movie yenyewe ilikuwa kama inajirewind hivi kuonyesha kila muhusika jinsi alivyoanza huko mpaka kufika pale kwenye tukio.
Yani wahusika wote main katika movie vipande vyao vya nyuma vilikuwa vinaonyesha uyo muhusika alipotokea mpaka akawepo katika eneo la tukio.

Yani ile movie ilianza kwa kuonyeshwa mwishoni lakini kadri inavyoendelea kila tukio la nyuma la muhusika flani linaonyeshwa mpaka kujikuta apo eneo la tukio hilo.

Dah sijui nimeeleweka.

Yani movie flani hivi imeanza kwa matukio ya mbele alafu ndo inarudishwa nyuma.

Kama umeweza kunielewa na unaijua hiyo movie basi naomba jina lake.

Samahani lakini maana maelezo yangu hayajajitosheleza.
Terrorist - korean series
 
Ukipata wale bongo holwood...yaani wauza movie kwenye flash wale jamaa Ambao movie imetoka Leo huko holwood kabla haijafika hata new York au ulaya taayari jaama wanayo wee fika kwao tu ukiongea para moja ' yaani maelezo ulio toa Hapa Ni marefu
Nenda sema hivi movie ya raisi yenye matuko yanayo jirudia au kijielezea Aina ya kila character.
Hao watakupata tu na kukupa movie yako'.
Asante bro nishaipata wadau wameitaja hapa hapa
 
Back
Top Bottom