unaweza kubadili course ukiwa chuoni....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unaweza kubadili course ukiwa chuoni....?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fidelis zul zorander, Jul 16, 2012.

 1. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wadau na swali kwa ambao mko uko vyuoni kama umechaguliwa course fulani na ukaamuakubadilisha inawezekana kweli...?assume qualification za kubadili hiyo course unavyo!..msaada jamani
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Swali zuri sana hili!! na majibu yatatusaidia wengi
   
 3. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  waje watujuze maana hii system ya tcu inatupa maswali mengi..
   
 4. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  unaweza kubadili course wakati wa kufanya registration.
   
 5. C

  Cartoons Senior Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Uwezekano upo ,ila unatakiwa ujitahid iwe mapema mno,wakati wa registration.
  Na km utachelewa basi uwe tiyari ku-postpone huo mwaka ili uanze na watakaoingia mwaka unaofuata.
   
 6. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,785
  Likes Received: 2,861
  Trophy Points: 280
  Kumbe suala ni kuwahi basi ntaripot 3 weeks before.
   
 7. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kuna course kama pharmacy ambazo watu wako limited je wanaweza kukuruhusu ukahamia huko...?
   
 8. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 876
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawezekana.Vyuo vingi hutoa nafasi hiyo ya kubadili kozi wiki mbili za mwanzo wakati wa udahili.
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,785
  Likes Received: 2,861
  Trophy Points: 280
  Dah thanx nitaenda kuhama fasta kwasababu me nilicheza trick ya kujaza course ambayo inaushindani mdogo na nimefanikiwa so awamu ya 2 ni kwenda kuchange.
   
 10. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wanaweza kukubalia kuhamia pharmarcy iwapo form six utakuwa umesoma mchepuo wa sayansi.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,247
  Likes Received: 22,753
  Trophy Points: 280
  Majuu (Marekani) ni rahisi sana kubadili major ukiwa freshman au sophomore.
   
 12. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  asante mkuu kwa mchango wako...
   
Loading...