Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Jamani, utashangaa unakutana na libaba mtu mzima, ameshafika kwenye 30s, ila bado story zake ni "you know my girl friend", yaani bado anaendekeza tu mambo ya girlfriend. sitaenda kwa wanawake kwa leo...yaani miaka yote hii hajaweka mtu ndani bado anahangaika na girlfriend....