eeeh
Hao wangetakiwa wawe walimu,kwa mazingira ya africaNawakumbuka Vipanga Kina NGAIMISI ,Sunday,Luse,Emily wa Mzumbe wote walipiga A 9 IV na A 3 VI..........Wanafunzi Wangu hao.
Mafinga nilikuwa form 1 2003Vipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe😅!dah
Tabora Boys dogo, Tabora Boys!Vipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe[emoji28]!dah
Amewataja waliokuwa karibu na yeyeTabora Boys dogo, Tabora Boys!
Unawajua wewe au unawasikia ???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We ulisoma wapiVipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe[emoji28]!dah
Sikubahatika kusoma mkuu!
Sie hao..Tabora Boys dogo, Tabora Boys!
Unawajua wewe au unawasikia ???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe vipanga wa Tabora Boys ulikuwa unawafahamu ???Sie hao..
[emoji23][emoji23] mbona we unajiita Lumumba hatukushangai sasa unashangaa nini mtu kujiita Mishil? Mimi Tabora boys hata sikuwa naijuaMishil ???Lady Mishil huyu huyu ???
JF hii bwanaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aniwei bwana! Tabora Boys was universal
Kila mtu alikuwa anaijua, hata mzumbe na kibaha wanaifahamu vizuri Tabora Boys.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]